検索ワード: surtout (フランス語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

French

Swahili

情報

French

surtout

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

フランス語

スワヒリ語

情報

フランス語

et surtout si vous avez de la fièvre

スワヒリ語

pamoja na joto jingi mwilini

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

フランス語

j’ai survécu surtout en buvant de l’eau.

スワヒリ語

kwa kiasi kikubwa niliweza kuishi kwa kunywa maji.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

je veux arrêter le sentiment que nous vivons surtout en privé.

スワヒリ語

ninataka kuacha kujisikia kwamba tunaishi kwa uhuru wa ndani ya nafsi zetu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

les éléphants sont surtout employés dans les exploitations forestières, une activité très dure et dangereuse.

スワヒリ語

tembo hutumiwa zaidi kwenye shughuli za usafirishaji magoo, kazi ambayo ni ngumu na hatari sana kwa tembo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

il y a eu des pillages, des hommes armés ont surtout volé des voitures et des motos.

スワヒリ語

pia kumekuwepo na uporaji, haswa na baadhi ya watu wenye silaha wanaopora magari na pikipiki.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

surtout du fait qu'il a refilé la responsabilité au président ram baran yadav.”

スワヒリ語

hasa kwa kuwa alimtupia mpira rais ram baran yadav.”

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

soneka kamuhuza, sur le blog things that make you go mmmh! , critique surtout mbeki :

スワヒリ語

soneka kamuhuza, anayeandika kupitia blogu ya things that make you go mmmh! anamshutumu vikali mbeki.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

je t'aime, surtout ne perds pas espoir, nous allons nous revoir, je prie pour toi.

スワヒリ語

ninawapenda, tafadhali msipoteze matumaini. tunaweza kuonana tena, tunawaombea.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

ils travaillent surtout dans les secteurs du bâtiment et des travaux publics, des mines et de l'agriculture.

スワヒリ語

inakadiriwa kuwa kuna wabrazili 5,000 waliosajiliwa nchini angola haswa wanaojishughulisha na masuala ya ujenzi, uchimbaji madini na biashara za mazao ya kilimo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

chômage de masse, répression policière, corruption : le mouvement dénonce mais surtout cherche à faire participer.

スワヒリ語

linashambulia ukosekanaji mkubwa wa ajira, unyama wa polisi na ufisadi. lakini zaidi ya yote linawataka watu wajitokeze kushiriki.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

personne ne l'aurait fait à leur place; surtout pas leurs ainés qui n'en sont pas capables.

スワヒリ語

hakuna mtu angefanya hivyo katika nafasi yao, hasa si wazee wao ambao hawana uwezo wa hayo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

soyez assidus aux salâts et surtout la salât médiane; et tenez-vous debout devant allah, avec humilité.

スワヒリ語

zilindeni sala, na khasa sala ya katikati, na simameni kwa ajili ya mwenyezi mungu nanyi ni wenye kuqunuti (kunyenyekea).

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

フランス語

ces dernières années, le nombre de suicides chez les étudiants chinois a augmenté, surtout parmi les diplômés et les titulaires d’un doctorat.

スワヒリ語

miaka ya hivi karibuni imeshuhudia ongezeko la kujiua miongoni mwa wanafunzi wachina katika vyuo vikuu, hasa wale wa shahada za uzamili na uzamizi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

beaucoup de choses – et même, beaucoup de personnes - sont bruyantes et embêtantes, même (surtout) au foot.

スワヒリ語

ni mambo mengi – naam, watu wengi – wana kelele na wanaudhi, na hata (hasa) kwenye mapambano ya soka.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

ce n'est pas juste au nom de la fonctionnalité, vu son influence croissante dans la société actuelle, mais surtout pour démontrer la diversité et la créativité qui lui sont propres.

スワヒリ語

siyo tu kwa maslahi ya ukweli uliopo kwamba (muziki huo) umejiongezea nguvu na umuhimu katika jamii, bali pia kama njia ya kuonyesha ubunifu wake.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

alors que la contestation de la semaine dernière était surtout le fait de membres de l'opposition, l'agitation semble se développer en un conflit social plus large.

スワヒリ語

wakati maandamano ya juma lililopita yalishirikisha zaidi wanachama wa vyama vya upinzani, mgogoro huu unaonekana kupelekea kuwa mgogoro mkubwa zaidi wa kijamii.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

comme l'ont remarqué de nombreux observateurs, les réactions ont en général été plutôt tièdes dans le monde surtout si on compare avec des pertes en vies humaines récentes et d'importance similaire.

スワヒリ語

kama wengi walivyoonesha, mwitikio wa dunia kwa ujumla umekuwa mdogo kwa kulinganisha na matukio ya watu wengi kupoteza maisha yao kwa wakati mmoja hivi karibuni.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

c'est particulièrement injuste pour les Éthiopiens, car cette compagnie aérienne est l'un des rares succès à l'international pour un pays connu surtout pour la famine et la guerre.

スワヒリ語

kwa hakika inakera sana kwa waethiopia kwamba shirika la ndege ni moja ya mafanikio adimu ya kimataifa ya nchi hii inayofahamika kwa njaa na vita.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

フランス語

"les gens se remettaient à parler de la pratique de l'enlèvement," se souvient aujourd'hui meaza ashenafi. "cela était pratiqué, surtout dans le sud du pays, des femmes étaient enlevées depuis des années.

スワヒリ語

"kwa mara nyingine, watu walianza kuzungumzia mila hiyo ya kumteka mwanamke," meaza ashenafi anakumbuka. "kumteka mwanamke lilikuwa suala lnalokubalika, hususani kusini mwa nchi hiyo, wanawake walikuwa wakitekwa kwa miaka mingi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,781,136,431 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK