プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
itaque fratres aemulamini prophetare et loqui linguis nolite prohiber
hivyo basi, ndugu zangu, mnapaswa kuwa na hamu ya kutangaza ujumbe wa mungu; lakini msimkataze mtu kusema kwa lugha ngeni.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
et resedit qui erat mortuus et coepit loqui et dedit illum matri sua
yule aliyekufa akaketi, akaanza kuongea. na yesu akamkabidhi kwa mama yake.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
mulieres in ecclesiis taceant non enim permittitur eis loqui sed subditas esse sicut et lex dici
kama ilivyo desturi katika makanisa yote ya watu wa mungu, wanawake wakae kimya katika mikutano ya waumini. hawana ruhusa kusema; ila wawe watii kama isemavyo sheria.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
adhuc eo loquente ad turbas ecce mater eius et fratres stabant foris quaerentes loqui e
yesu alikuwa bado anasema na umati wa watu wakati mama yake na ndugu zake walipofika na kusimama nje, wakitaka kusema naye.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
et ego fratres non potui vobis loqui quasi spiritalibus sed quasi carnalibus tamquam parvulis in christ
ndugu, mimi sikuweza kusema nanyi kama watu mlio na huyo roho. nilipaswa kusema nanyi kama watu wa kidunia, kama watoto wachanga katika maisha ya kikristo.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
agrippa vero ad paulum ait permittitur tibi loqui pro temet ipso tunc paulus extenta manu coepit rationem redder
basi, agripa akamwambia paulo, "unaruhusiwa kujitetea." hapo paulo alinyosha mkono wake akajitetea hivi:
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
et cum coepisset induci in castra paulus dicit tribuno si licet mihi loqui aliquid ad te qui dixit graece nost
walipokuwa wanamwingiza ndani ya ngome, paulo alimwomba mkuu wa jeshi akisema, "naweza kukwambia kitu?" yule mkuu wa jeshi akamjibu, "je unajua kigiriki?
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
egressus autem non poterat loqui ad illos et cognoverunt quod visionem vidisset in templo et ipse erat innuens illis et permansit mutu
alipotoka nje, hakuweza kusema nao. ikawa dhahiri kwao kwamba alikuwa ameona maono hekaluni. lakini akawa anawapa ishara kwa mikono, akabaki bubu.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
et dixit ad eum paulus ego homo sum quidem iudaeus a tarso ciliciae non ignotae civitatis municeps rogo autem te permitte mihi loqui ad populu
paulo akajibu, "mimi ni myahudi, mzaliwa wa tarso katika kilikia; mimi ni raia wa mji maarufu. tafadhali, niruhusu niongee na watu.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
et coepit illis in parabolis loqui vineam pastinavit homo et circumdedit sepem et fodit lacum et aedificavit turrem et locavit eam agricolis et peregre profectus es
yesu alianza kusema nao kwa mifano: "mtu mmoja alilima shamba la mizabibu. akalizungushia ukuta, na katikati yake akachimba kisima cha kusindikia divai, akajenga mnara pia. akalikodisha shamba hilo kwa wakulima, akasafiri hadi nchi ya mbali.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています