プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
adduxerunt autem puerum viventem et consolati sunt non minim
wale watu walimchukua yule kijana nyumbani akiwa mzima kabisa, wakapata kitulizo kikubwa.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
quam initiavit nobis viam novam et viventem per velamen id est carnem sua
yeye ametufungulia njia mpya na yenye uzima kupitia lile pazia, yaani kwa njia ya mwili wake mwenyewe.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
factus est primus homo adam in animam viventem novissimus adam in spiritum vivificante
maana maandiko yasema: "mtu wa kwanza, adamu, alikuwa kiumbe mwenye uhai;" lakini adamu wa mwisho ni roho awapaye watu uzima.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
cum timerent autem et declinarent vultum in terram dixerunt ad illas quid quaeritis viventem cum mortui
hao wanawake wakaingiwa na hofu, wakainama chini. ndipo wale watu wakawaambia, "kwa nini mnamtafuta aliye hai kati ya wafu?
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
obsecro itaque vos fratres per misericordiam dei ut exhibeatis corpora vestra hostiam viventem sanctam deo placentem rationabile obsequium vestru
kwa hiyo, ndugu zangu, maadam mungu ni mwenye huruma nyingi, nawasihi kwa moyo wote: jitoleeni nafsi zenu kwa mungu kama tambiko iliyo hai, takatifu na yenye kupendeza. hii ndiyo njia yenu halisi ya kumwabudu.
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
et iuravit per viventem in saecula saeculorum qui creavit caelum et ea quae in illo sunt et terram et ea quae in ea sunt et mare et quae in eo sunt quia tempus amplius non eri
akaapa kwa jina la mungu aishiye milele na milele, mungu aliyeumba mbingu na vyote vilivyomo, bahari na vyote vilivyomo, dunia na vyote vilivyomo. akasema, "wakati wa kusubiri zaidi umekwisha!
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています