検索ワード: authoritative (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

authoritative

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

these are the verses of the authoritative book.

スワヒリ語

hizo ni aya za kitabu chenye hikima.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

such was the authoritative reasoning that we gave abraham over his people.

スワヒリ語

na hizo ndizo hoja zetu tulizo mpa ibrahim kuhojiana na watu wake.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

do not be like those who turned into quarrelling sects after receiving clear authoritative evidence.

スワヒリ語

wala msiwe kama wale walio farikiana na kukhitalifiana baada ya kuwafikia hoja zilizo wazi.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

if you are seduced after you have received the authoritative guidance, know that god is majestic and wise.

スワヒリ語

na ikiwa mkateleza baada ya kukufikieni hoja zilizo wazi, basi jueni kuwa mwenyezi mungu ni mwenye nguvu na mwenye hikima.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

authoritative evidence has come to you from your lord and this she-camel is the evidence for you from god.

スワヒリ語

nyinyi hamna mungu ila yeye. hakika imekwisha kukufikieni ishara iliyo wazi kutoka kwa mola wenu mlezi.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

i have received authoritative evidence and mercy from my lord, so who will protect me from god if i disobey him?

スワヒリ語

mwaonaje ikiwa ninazo dalili zilizo wazi kutokana na mola wangu mlezi, naye akawa kanipa rehema kutoka kwake - je, ni nani atakaye ninusuru kwa mwenyezi mungu nikimuasi?

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

we shall cause terror to enter the hearts of the faithless for their considering things equal to god without authoritative evidence.

スワヒリ語

tutazitia khofu nyoyo za walio kufuru kwa vile walivyo mshirikisha mwenyezi mungu na washirika ambao hakuwateremshia hoja yoyote.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

our messengers had come to them with clear authoritative evidence but many of them (israelites) thereafter started doing wrong in the land.

スワヒリ語

na hakika waliwajia mitume wetu na hoja zilizo wazi. kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

after (noah) we sent other messengers to their people with clear authoritative evidence proving their prophetic claims).

スワヒリ語

kisha baada yake tukawatuma mitume kwa watu wao. nao wakawajia kwa ishara zilizo wazi.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

he said, "my people, do you not realize that i have received authoritative evidence from my lord and have been granted a noble gift from him?

スワヒリ語

akasema: enyi watu wangu! mwaonaje ikiwa ninayo dalili wazi inayo tokana na mola wangu mlezi, na ikawa yeye ameniruzuku riziki njema kutoka kwake?

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

the month of ramadan is the month in which the quran was revealed; a guide for the people, the most authoritative of all guidance and a criteria to discern right from wrong.

スワヒリ語

mwezi wa ramadhani ambao imeteremshwa humo qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

whenever our authoritative revelations are recited to those who do not wish to meet us in the life hereafter, say, "bring us another book besides this one or change it."

スワヒリ語

na wanapo somewa aya zetu zilizo wazi, wale wasio taraji kukutana na sisi husema: lete qur'ani isiyo kuwa hii, au ibadilishe.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

even if you were to bring all kinds of authoritative proof to the people of the book, they still would not accept your qibla, nor would you accept theirs, nor would they accept each others. were you to follow their desires after all the knowledge that has come to you, you would certainly have been one of the unjust.

スワヒリ語

na hao walio pewa kitabu, hata ukiwaletea hoja za kila namna, hawatafuata kibla chako; wala wewe hutafuata kibla chao, wala baadhi yao hawatafuata kibla cha wengineo; na kama ukiyafuata matamanio yao baada ya kukufikia ujuzi, hakika hapo utakuwa miongoni mwa wenye kudhullumu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,800,444,336 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK