プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
the meaning of the word complex
maana ya neno kitata
最終更新: 2020-12-17
使用頻度: 1
品質:
参照:
the transcription complex sleep lamtoto
la kili
最終更新: 2012-11-01
使用頻度: 1
品質:
参照:
networks are nowdays a complex medium.
mitandao ya kijamii siku hizi imekuwa jukwaa gumu kulitumia.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
a way to show complex information in a simple way
njia ya kuonyesha habari changamano kwa usahili
最終更新: 2021-07-01
使用頻度: 1
品質:
参照:
the other important function of the complex is to transcribe the viral genome.
kazi nyingine muhimu ya uchangamano ni kufasilia genomu ya virusi.
最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:
参照:
the other nonstructural proteins in the complex assist in the replication and transcription process.
protini nyingine zisizo na muundo katika uchangamano husaidia katika mchakato wa kurudufisha na ufasili.
最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:
参照:
or is the world really more complex than 'good guys' and 'bad guys'?
au dunia ni ngumu kueleweka zaidi kuliko “watu wema” au “wabaya” wanavyoweza kueleweka?
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
gnome also includes a complete development platform for applications programmers, allowing the creation of powerful and complex applications.
gnome inatimiza zana mbalimbali za utungaji wa maprogramu zinazowezesha uundaji wa maprogramu bora.
最終更新: 2014-08-15
使用頻度: 3
品質:
参照:
they were writing about the complex, often tendentious political climate in bangladesh and the importance of upholding human rights.
walikuwa wakiandika kwa maoni yao kuhusiana na hali tete ya kisiasa ya bangladesh pamoja na umuhimu wa kuweka kipau mbele haki za binadamu.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
as it turns out mustafa was also a precocious student educated in the west but simultaneously harbors a violently hateful and complex relationship with his western identity and acquaintances.
iliondokea kuwa mustafa pia alikuwa ni msomi aliyesoma katika nchi za magharibi lakini alikuwa amejawa na chuki na uhusiano wa ajabu na marafiki zake wa kutoka nchi za magharibi.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
but it is clear that the pakistani military-jihadi complex has every reason to escalate tensions with india through the use of terrorism.
lakini ni wazi kwamba mfumo wa uanajeshi wa jihadi wa pakistani una sababu zote za kuzidisha mfarakano na india kwa njia ya ugaidi.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
aimed at providing a larger context and fostering the global voices mission, this collection of 2012 posts will try to parse out such complex framework and open up the horizon for the upcoming year.
ikiwa imelengwa kupanua mukhtadha na kukuza malengo ya global voices, this mkusanyiko huu wa posti za mwaka 2012 utajaribu kuelezea muundo huo changamani na kufungua upeo kwa ajili ya mwaka ujao.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
a number of the nonstructural proteins coalesce to form a multi-protein replicase-transcriptase complex (rtc).
idadi ya protini zisizokuwa na muundo hushirikiana ili kuunda multi-protein replicase-transcriptase complex (rtc).
最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:
参照:
above all, they illustrate the complex and diverse relationship - with all of the inevitable similarities and differences - of siblings growing up an ocean apart.
zaidi ya yote, wanabainisha mahusiano ya namna mbalimbali na yenye mchanganyiko - kwa kuwianisha yale yanayofanana na yanayotofautiana - miongoni mwa watoto hao waliotenganishwa na bahari wakati wa makuzi yao.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
despite the lashkar-e-taiba threat, it is too early to definitively attribute the attack to the pakistani military-jihadi complex.
pamoja na tishio la la lashkar-e-taiba, ni mapema mno kuhusisha shambulio hilo kwa uhakika na mfumo wa uanajeshi wa jihadi wa pakistani.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
the project works with local organizations in jayapura and merauke in west papua, where local activists attended multimedia workshops, and learned to narrate west papua's complex story through videos.
mradi huu unafanya kazi na mashirika ya wazawa katika maeneo ya jayapura na merauke huko papua ya magharibi, ambapo wanaharakati wazawa walihudhuria warsha ya njia za upashanaji habari na kujifunza namna ya kuelezea kupitia video habari ambazo si rahisi kufikiwa.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
the exoribonuclease nonstructural protein, for instance, provides extra fidelity to replication by providing a proofreading function which the rna-dependent rna polymerase lacks.one of the main functions of the complex is to replicate the viral genome.
protini isiyokuwa na muundo ya exoribonclease, kwa mfano, hutoa uaminifu wa ziada wa urudufishaji kwa kutoa utendaji wa kupitia ambao polyemerase rna inyotegemea rna inakosa. mojawapo ya kazi kuu za uchangamano huu ni kurudufu genomu ya virusi.
最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:
参照:
#dershowitz, i'll rather have my sa with all its diversity and challenges than your american superiority complex. http://t.co/wd4pogxwz7 — jacobus j. retief (@koosretief) march 5, 2014
#dershowitz, ni bora niishi kwenye nchi yangu yenye kila namna ya tofauti na changamoto kuliko hulka yenu wamarekani kujiona bora
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照: