プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
defining the concept of bureaucracy in language
kufafanua dhana ya urasimu katika lugha
最終更新: 2020-11-25
使用頻度: 1
品質:
参照:
if we don’t beat corruption and bureaucracy in the next period, we could lose this revolution.
kama hatutaushinda ufisadi na urasimu katika kipindi kijacho, tunaweza kuyapoteza mapinduzi haya.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
it is surprising when you find out how much strength is necessary to overcome language barriers, bureaucracy, and relationships.
inashangaza pale unapobaini ni ujasiri kiasi unaotakiwa katika kukabiliana na changamoto ya lugha, urasimu pamoja na mahusiano.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
the drill is not only to honor the victims of the earthquake, it's also about society vs bureaucracy.
mafunzo hayo yalikuwa si tu kuwakumbuka wahanga wa tetemeko la ardhi, bali kushughulikia jamii na taratibu za kirasimu za uendeshaji wa shughuli za serikali.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
for example, independent reporters continue to face a high risk of being slapped with various lawsuits if they expose controversies in the bureaucracy or criticize high ranking government officials.
kwa mfano, waandishi wa habari wa kujitegemea wanaendelea kuwa katika hali ya hatari ya kukumbwa na vifungu mbalimbali vya sheria kama wataweka bayana hali ya sintofahamu katika uongozi au kuwakosoa viongozi wa ngazi za juu serikalini.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
technically, gatherings of less than 500 people do not need a permit in that park, while having a vigil even in front of the kenyan embassy or in another commercial place would require cumbersome bureaucracy.
kiutaratibu, kukusanyika watu wasiozidi 500 kwenye viwanja hivyo hakuhitaji ruhusa, wakati kuwa na ibada ya kumbukumbu hata mbele ya ubalozi wa kenya au kwenye eneo lolote la kibiashara kunahitaji kufuata urasimu mkubwa.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照: