検索ワード: clinton (英語 - スワヒリ語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

clinton

スワヒリ語

clinton

最終更新: 2020-06-08
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

in the sense of the name clinton's

スワヒリ語

kwa maana ya jina clinton

最終更新: 2020-03-02
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

mbak rita observes that clinton looks younger today:

スワヒリ語

bloga mbak rita amegundua kwamba clinton anaonekana kijana sana leo:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

she moved to dar es salaam to work for the clinton foundation.

スワヒリ語

alihamia dar es salaam kufanya kazi katika mfuko wa clinton.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

not everybody was cheering the visit of hillary clinton in indonesia.

スワヒリ語

siyo kila mmoja aliyeshangilia ziara ya hillary clinton nchini indonesia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

therry, in a comment, wonders if the us sent a fake clinton:

スワヒリ語

katika safu ya maoni, therry, anajiuliza kama marekani ilimtuma clinton wa uongo:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

united states secretary of state hillary clinton arrived in indonesia last wednesday.

スワヒリ語

katibu wa mambo ya nje wa marekani hillary clinton aliwasili nchini indonesia jumatano iliyopita.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

couple of months ago he had a meeting with secretary clinton in nairobi during her africa trip.

スワヒリ語

miezi miwili iliyopita alikuwa na mkutano na katibu clinton jijini naorobi wakati wa ziara yake ya afrika.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

elif yavuz meeting with former us president bill clinton during his visit to tanzania in august 2013.

スワヒリ語

elif yavuz akikutana na rais wa zamani bill clinton wakati wa ziara yake nchini tanzania mwezi agosti 2012.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

aside from meeting the leaders of indonesia, clinton found the time to visit a slum community in jakarta.

スワヒリ語

pamoja na kukutana na viongozi wa indonesia, clinton alipata muda wa kutembelea makazi ya watu masikini mjini jakarta.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

secretary of state hillary clinton's visit to indonesia starts a new era in american foreign policy.

スワヒリ語

ziara ya katibu wa mambo ya nje wa marekani clinton nchini indonesia inafungua zama mpya za sera ya nje ya marekani.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

everything indonesia believes clinton's visit to indonesia starts a new era in american foreign policy:

スワヒリ語

bloga everything indonesia anaamini kuwa ziara ya clinton nchini indonesia inafungua zama mpya ya sera ya nje ya marekani:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

"concern over rising religious intolerance is not the only human rights issue clinton should raise with president susilo bambang yudhoyono.

スワヒリ語

"mashaka ya ongezeko la kutokuvumiliana kidini sio suala pekee ambalo clinton angeliongelea na rais susilo bambang yudhoyono.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

hillary clinton said it the other day that you don't handle china the way you do a third world country and that was her way of indicating indirectly where exactly she puts uganda in the pecking order.

スワヒリ語

hillary clinton alisema siku ile kuwa hukabiliani na china kwa njia ambayo unakabiliana na nchi ya dunia tat una hiyo ilikuwa ndiyo njia yake ya kuashiria kwa mzunguko mahali ambapo aniweka uganda katika orodha ya ukubwa (wa mataifa).

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

"(clinton) should be careful not to say that muslims in indonesia are “moderate,” as most diplomatic visitors like to say.

スワヒリ語

"(clinton) awe muangalifu na asiseme kuwa waislamu wa indonesia wana "siasa za wastani" kama wanavyosema wanadiplomasia wageni.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

carlos rodríguez of rescatar makes a comparison with what happened years ago in the united states, when then-president bill clinton had an inappropriate and extra-marital relationship with monica lewinski.

スワヒリ語

carlos rodríguez wa rescatar analinganisha (mkasa huu) na yale yaliyotokea miaka iliyopita nchini marekani, wakati aliyekuwa rais wakati huo - rais bill clinton alipokuwa na mahusiano yasiyofaa, nje ya ndoa na monica lewinski.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

but in indonesia, even peaceful acts like a flag raising can land you in jail for a long time "clinton may be tempted to gloss over issues like religious freedom, impunity, and military reform, in favor of closer indonesian-us ties.

スワヒリ語

katika indonesia, hata vitendo vya amani kama vile kupandisha bendera vinaweza kukupeleka jela kwa muda mrefu. clinton anaweza kushawishika kupamba masuala kama uhuru wa kidini, usawa katika sheria na mageuzi ya kijeshi ili kuboresha uhusiano wa marekani na indonesia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,777,987,884 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK