検索ワード: criteria (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

criteria

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

they also say the haiti situation does not meet tps criteria.

スワヒリ語

wanasema pia kwamba hali iliyotokea nchini haiti haikidhi vigezo vya mtu kupewa tps.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

to find more about criteria of the rating, please visit here

スワヒリ語

kujua zaidi kuhusu vigezo vinavyozingatiwa katika kuweka viwango, tafadhali tembelea here

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the artist says the criteria for censorship are applied loosely and unequally.

スワヒリ語

msanii huyo anasema vigezo vya kufuatiliwa havizingatiwi sana na havitumiki kwa usawa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

and criteria for copying are based on what country likes or based on his weakness.

スワヒリ語

na vigezo vya kuiga vinatokana na kile nchi inachopenda au itokane na udhaifu wake.

最終更新: 2013-04-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

before as a guide for the people and now he has revealed the criteria of discerning right from wrong.

スワヒリ語

kabla yake, ziwe uwongofu kwa watu. na akateremsha furqani (upambanuo).

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

to moses and aaron we granted the criteria of discerning right from wrong, and we gave them the light and a reminder to the pious ones

スワヒリ語

na kwa yakini tuliwapa musa na haaruni kipambanuzi, na mwangaza, na makumbusho kwa wachamngu,

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

the rescission of cuba’s designation as a state sponsor of terrorism reflects our assessment that cuba meets the statutory criteria for rescission.

スワヒリ語

kuondolewa kwa cuba kwenye orodha ya nchi zinazofadhili ugaidi kunaonesha tathimini yetu kwamba cuba ina sifa za kuondolewa kwenye orodha hiyo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

believers, if you fear allah, he will give you a criteria and cleanse you of your sins and forgive you. allah is the owner of great bounty.

スワヒリ語

enyi mlio amini! mkimcha mwenyezi mungu atakupeni kipambanuo, na atakufutieni makosa, na atakusameheni, na mwenyezi mungu ni mwenye fadhila kubwa.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

but the same criteria has been applied to a broad range of images, from breastfeeding mothers to artists whose works reveal nipples, penises, and in particular, vaginas.

スワヒリ語

lakinikigezo hicho hicho kimetumika kuhakiki aina mbalimbali za michoro na picha, kuanzia ile ya akina mama wanaoonekana kunyonyesha mpaka kwa wasanii ambao kazi zao zinaonesha chuchu, sehemu za siri za kiume, na hata zile za kike.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

while the united states has significant concerns and disagreements with a wide range of cuba’s policies and actions, these fall outside the criteria relevant to the rescission of a state sponsor of terrorism designation.

スワヒリ語

wakati marekani ina wasiwasi na haikubaliani na sera na mienendo mingi ya cuba, bado inaamini kwamba hazina uhusiano na kufadhili vitendo vya ugaidi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

these modifications based on the researchers continued work that to search for an optimal nucleic acid detection kit for rapid diagnosis, as well as the samples from respiratory tract including blood sampling, which increased the availability of different specimens, and supported bringing the specific antibody positive result into the confirmed criteria.

スワヒリ語

marekebisho haya kulingana na watafiti yaliendeleza kazi ya kutafuta kifurushi bora cha kugundua asidi ya nyuklea kwa ajili ya upimaji haraka, pamoja na sampuli kutoka kwa njia ya pumu ikiwa ni pamoja na sampuli wa damu, ambayo iliongeza upatikanji wa sampuli tofauti na kusaidia kuletwa kwa matokeo chanya ya antibodi mahususi katika utaratibu uliothibitishwa.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

have been focusing on lending to entrepreneurs who already own their businesses, those who do not have a business are not allowed to be given loans at all. however, there are still challenges to the criteria for obtaining such loans, for example, you must have a sufficient guarantee to be able to get the loan you need as well as there are costs of the loan that you have to pay before you can get a loan.

スワヒリ語

zimekuwa zikizingatia utoaji wa mikopo kwa wafanyabiashara ambao tayari wanamiliki biashara zao, wale ambao hawana biashara hawaruhusiwi kupewa mikopo kabisa. licha ya hivyo bado kuna changamoto za vigezo vya kupata mikopo hiyo kwa mfano ni lazim,a uwe na dhamana ya yenye kukidhi kuweza kupewa mkopo unaohitaji vilevile kuna gharama za mkopo huo unalazimiki uzigharamia kabla ya kuatiwa mkopo

最終更新: 2020-11-29
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,749,157,745 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK