プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
the last time that argentina reached the final of the world cup was 1990, when the tournament took place in italy and west germany was crowned the champion.
mara ya mwisho kwa ajentina kufika kwenye hatua ya fainali za kombe la dunia ilikuwa mwaka 1990, mashindano yalipofanyika nchini italia na ujerumani magharibi ilitwaa kombe hilo.
but we see jesus, who was made a little lower than the angels for the suffering of death, crowned with glory and honour; that he by the grace of god should taste death for every man.
lakini twamwona yesu ambaye alifanywa kwa kitambo kidogo kuwa chini zaidi kuliko malaika, ili kwa neema ya mungu afe kwa ajili ya watu wote. sasa tunamwona ametawazwa kwa utukufu na heshima kwa sababu ya kifo alichoteseka.
photos of the five corpses hanging from a rope high in the air tied to two cranes circulated on twitter and facebook on may 21, 2013 to the outrage of many users, including many yemenis who were disturbed and enraged by the images of their executed countrymen.
picha za miili ya watu watano ikining'inia kwenye kamba juu ikiwa imefungwa kwenye winchi zilisambazwa kwenye mitandao ya twitter na facebook tarehe 21, 2013 zikiwasikitisha watumiaji wengi, ikiwa ni pamoja na raia wa yemeni walioogopeshwa na kukerwa na picha za miili ya raia wenzao.