検索ワード: disability (英語 - スワヒリ語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

disability

スワヒリ語

ulemavu

最終更新: 2013-11-23
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

site disability means what

スワヒリ語

ngosi urema means what

最終更新: 2020-06-07
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

disability is not inability.

スワヒリ語

ulemavu sio kukosa uwezo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

what is a person with a disability?

スワヒリ語

magutao ni mtu mwenye ulemavu gani?

最終更新: 2023-05-19
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

positive statement from disability rights activists meeting in senegal.

スワヒリ語

taarifa chanya kutoka kwa wanaharakati wanaotetea haki za walemavu wanaoshiriki katika warsha nchini senegali.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

persons with disability are not just covered in positive light but no light at all.

スワヒリ語

watu wenye ulemavu si tu hawapewi nafasi ya kutosha katika vyombo vikuu vya habari lakini hawapati nafasi kabisa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

the workshop empowered persons with disability with techniques on how to handle and take over media especially the social media and included communication and writing techniques.

スワヒリ語

warsha hii iliwawezesha vijana hawa wenye ulemavu kwa kuwapatia ujuzi wa namna bora ya kufanya kazi na hata kuchukua usukani wa vyombo vya habari hasa vya kijamii pamoja na mbinu za mawasiliano na kuandika.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

open society foundation and disability right initiative have formed an organization to cater specifically to the disabled african youth - african youth with disability network.

スワヒリ語

open society foundation, shirika la uwazi katika jamii wakishirikiana na mpango wa haki za walemavu (disability right initiative, dri, wameungana kuunda shirika litakalowahudumia vijana wa ki-afrika wenye ulemavu - shirika litakaloitwa mtandao wa vijana wa ki-afrika wenye ulemavu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

@mksesay: #african‬ states are lagging behind in promoting disability rights, youth need to hold governments accountable.

スワヒリ語

@mksesay: # nchi za afrika bado ziko nyuma katika kutetea haki za walemavu, vijana wanapaswa kuziwajibisha serikali zao.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

this girl, who has been said to have an intellectual disability, was raped by the 41-year-old grandfather of her half-sister.

スワヒリ語

msichana huyu, anayesemekana kuwa na ulemavu wa akili, alibakwa na babu wa dada yake wa kambo mwenye miaka 41.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

as stated in the notice, the reason for this is the lack of coordination of the ministry of labor and social policy, piom and pro regarding the new law, which provides freelancers to also pay pension and disability insurance.

スワヒリ語

kama ilivyoelezwa katika taarifa hiyo, sababu kubwa ya kushindikana kutekelezwa kwa sheria hii mpya ni kukosekana kwa mawasiliano mazuri kati ya wizara ya kazi na sera ya kijamii, piom na pro, sheria inayowataka wafanyakazi walioajiriwa na mwajiri zaidi ya mmoja kutoa mchango wa pensheni pamoja na bima ya ulemavu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

it is the policy and commitment of the company that it does not discriminate on the basis of race, age, color, sex, national origin, physical or mental disability, or religion.

スワヒリ語

c / ni sera na dhamira ya kampuni kuwa haina ubaguzi kwa misingi ya rangi, umri, rangi, jinsia, asili ya kitaifa, ulemavu wa mwili au kiakili, au dini.

最終更新: 2019-08-23
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

disabilities

スワヒリ語

wenye ulemavu

最終更新: 2022-02-16
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,727,108,027 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK