プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
unfortunately, as i and many other sociologists and commentators have argued, even in this past year, we have seen numerous incidents that illustrate just how prevalent racial distinctions and racism still are in american society.
kwa bahati mbaya, kama mimi na wataalamu wa sayansi ya jamii pamoja na watoa maoni tulivyosema, hata katika mwaka huu uliopita, tumeona matukio kadhaa ambayo yanaonyesha kwa kiasi gani utofauti wa rangi na ubaguzi wa rangi bado uemeenea katika jamii ya marekani.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
ultimately, the best way for us to work toward achieving the ultimate colorblind ideal is to recognize, accept, and understand that racial distinctions still matter and that they are still the basis for continuing discrimination and inequality in american society today.
hatimaye, njia yetu bora zaidi katika kufikia njozi ya kutoona rangi za wengine ni kwa kutambua, kukubali, na kuelewa kuwa utofauti wa rangi bado upo na kwamba ubaguzi huo bado ni msingi unaoendeleza ubaguzi na ukosefu wa usawa katika jamii ya kimarekani leo.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質: