検索ワード: failures (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

failures

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

for them all those failures of m7 regime are in fact sweet music and the right direction.

スワヒリ語

kwa waganda mapungufu yote ya utawala wa m7 kwa kweli ni kama muziki mtamu na welekeo sahihi wa mambo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

personal stories, successes, failures and hopes are "written" on this platform.

スワヒリ語

simulizi binafsi za watu, mafanikio, kukosa mafaninikio na matumaini, vyote "vinaandikwa" katika jukwaa hili.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

some are thinking that this protest is a ploy of the ruling party to hide their failures in different areas.

スワヒリ語

baadhi wanafikiri kwamba maandamano haya ni mkakati wa chama tawala kuficha mapungufu yake katika maeneo mbalimbali.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the concerned government authorities' gaffes and numerous mistakes and other failures have disappeared from media reports.

スワヒリ語

madudu ya idara za serikali na makosa mengi na kushindwa kwa serikali havionekani kwenye taarifa za habari.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

its team expects to receive significantly more this weekend, when violence, detentions and failures in the election systems are all likely.

スワヒリ語

timu yake inatarajia kupokea taarifa zaidi mwisho wa juma hili, ambapo matukio ya matumizi ya nguvu, ukamataji na hata kushindwa kufanya kazi kwa mifumo ya uchaguzi yanauwezekano mkubwa wa kutokea.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

availability of medication is also a real problem because the systematic failures in drug management and inventory tracking as well as distribution logistics hamper proper distribution of medications.

スワヒリ語

upatikanaji wa dawa pia ni tatizo kubwa kwa kuwa kuna tatizo la kukosekana kwa usimamizi madhubuti wa dawa na taarifa za upatikanaji wa dawa pamoja na taratibu za usambazaji zinazokwamisha mgawanyo sahihi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

usually, the conversation goes no further because l sometimes think both nigerians and foreigners have a morbid fascination with nigeria’s undeniable failures.

スワヒリ語

mara nyingi, mazungumzo huwa hayafiki mbali kwa sababu mara nyingine mimi hufikiri wanaijeria na watu wa mataifa ya nje wana mvuto wa huzuni katika na kushindwa kwa naijeria ambako hakuwezi kukanwa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

so that no soul may say, “alas! the failures that i committed regarding allah – and indeed i used to mock!”

スワヒリ語

isije ikasema nafsi: ee majuto yangu kwa yale niliyo poteza upande wa mwenyezi mungu, na hakika nilikuwa miongoni mwa wanao fanya maskhara!

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

some days you feel like a failure, that’s ok because this too shall pass.

スワヒリ語

kesho itakuwa bora

最終更新: 2023-07-26
使用頻度: 2
品質:

人による翻訳を得て
7,748,616,901 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK