検索ワード: featuring (英語 - スワヒリ語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

featuring

スワヒリ語

fuataring

最終更新: 2024-02-12
使用頻度: 1
品質:

英語

screenshot from the video featuring firs violent intervention.

スワヒリ語

picha za skrini kutoka kwenye video inayoonesha vurugu zilizofanywa na fir wakati walipovamia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the blog is an online diary captured in image form featuring a lot of breathtaking sceneries and immaculately taken photos of different people and items.

スワヒリ語

blogu hii ni kitabu chake cha kumbukumbu cha mtandaoni kilicho na mtindo wa picha kikionyesha matukio mengi yanayosisimua na picha zilizopigwa kwa ustadi mkubwa za watu na vitu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

a screenshot from independent newspaper daily nation (@dailynation) featuring photos of garissa shooting victims, shared on twitter.

スワヒリ語

picha ya gazeti huru la daily nation (@dailynation) ikiwa na picha za wahanga wa shambulio la garissa, iliyosambaa kwenye mtandao wa twita.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the result was a two-volume video featuring various local filmmakers and unique stories about the social, cultural, and political situation in west papua.

スワヒリ語

hii imepelekea kuandaliwa kwa matoleo mawili ya video yaliyowahusisha waandaaji kadhaa wa filamu ambao ni wazawa na pia, zikiwa zimesheheni habari za kipekee za kijamii, kitamaduni, pamoja na hali ya kisiasa ya papua ya magharibi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

businessmen in pakistan have joined the party as they are getting orders for hundreds of thousands of t-shirts featuring shoaib and sania ahead of their wedding that is expected to take place next week on 15 april.

スワヒリ語

wafanyabiashara nchini pakistani wamejiunga na hafla kwani wanapata maagizo ya mamia ya maelfu ya fulana zenye picha ya shoaib na sania kuelekea harusi yao ambayo inatarajiwa kufungwa wiki ijayo siku ya tarehe 15 aprili.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the theme of the 2014 parade was ‘walk in queers’ shoes,’ featuring voices from marginalized lgbt communities such as physically disabled people, hiv-positive people and sex workers.

スワヒリ語

maudhui ya matembezi ya mwaka 2014 yalikuwa ‘tembea kwa kutumia viatu ya (unaowaona) hawako kawaida,’ yakiakisi sauti za jamii za watu wa mapenzi ya jinsia moja, mashoga, wanaotengwa kama walemavu, watu wanaoishi na virusi vya ukimwi na makahaba.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,744,181,569 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK