検索ワード: gender based violence (英語 - スワヒリ語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

end gender based violence

スワヒリ語

ukatili wa kijinsia

最終更新: 2021-03-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

types of gender based violence

スワヒリ語

aina za ukatili wa kijinsia

最終更新: 2022-01-13
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

since the revolution took place, egyptians both online and offline have been standing up against sexual harassment and gender-based violence.

スワヒリ語

tangu mapinduzi yalipofanyika, wamisri wanaotumia mtandao wa intaneti na wasiotumia mtandao wa intaneti wamekuwa wakisimama imara kupinga udhalilishaji wa kijinsia pamoja na machafuko yatokanayo na kutokujali usawa wa binadamu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

here at the shops we needed to set it up but we didn't have a sponsor, for the first time this gender based violence activity started and we were involved with people from the community but the mood didn't grow well about six years back and when we saw the movement was not good we did little and made sure they were well received. a good privacy so that they do not feel bad because most of them do not want to be known because of embarrassment and you find another woman being abused by her husband or

スワヒリ語

tukafanya ivyo kama kwa mwaka mmoja miwili lakini ikawa haina nguvu hawa wa shops walivyokuja ikaendelea lakini haina muhamko mzuri kwasababu huku kwenye jamii ndo tunatengemea ili watuletee wale ambao wana aibu wakifanyiwa tendo ilo baya na ovu maana anafunga mdomo kwasababu anakua anaogopa na anaenda kwenye matatizo na wengine wana ambukizwa hadi magojwa kama ukimwi, kwaiyo mimi mtizamo wangu hili jambo likipata good support na kukawa na wataalamu wakutosha maana sasa ivi tuna wataalamu wachache tutasaidia wengi kwenye jamii, na tukapata wahudumu ngazi ya jamii takapata wataalamu ambao wanauelewa ingetusaidia

最終更新: 2021-02-22
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

daily beast journalist mike gilgio writes that while it is not uncommon for women to be sexually harassed during public demonstrations in egypt, this time around men were behaving in a more respectful manner towards women in what has been dubbed the purity protests - where the idea of rallying around a unifying struggle against the state is more important than gender-based conflicts.

スワヒリ語

mike gilgio mwandishi wa daily beast anaandika kuwa wakati si jambo lisilo la kawaida kwa wanawake kubugudhiwa kijinsia wakati wa maandamano ya umma nchini misri, katika maandamano haya wanaume walionyesha mwenendo wenye heshima zaidi kwa wanawake katika kile kilichoitwa maandamano yenye udhu - ambayo kwayo dhana ya maandamano ya umoja dhidi ya dola yana umuhimu zaidi ya mikwaruzano ya kijinsia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,781,762,095 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK