人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。
プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
the transfers were made to punish teachers who participated in last year's strikes demanding the improvement of the conditions of employees in the education sector.
walimu hao wamekuwa wakihamishwa kuwaadhibu wale wote walioshiriki katika mgomo wa mwaka uliopita kushinikiza kuboreshwa kwa mazingira ya kazi katika sekta ya elimu.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
we have created the heavens and the earth and all that is between the two in accordance with the requirements of truth and wisdom.
na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake ila kwa ajili ya haki.
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:
it's actually a side effect from the global credit crunch, where the ministry has had to fire a large number of employees because of a shortage of funds, and couldn't sustain as many websites as it used to.
ukweli ni kwamba haya ni madhara ya hali mbaya ya kiuchumi ulimwenguni, na wizara imelazimika kuwafukuza kazi idadi kubwa ya wafanyakazi kwa sababu ya upungufu wa fedha, haikuweza kuhudumia tovuti nyingi kama ilivyokuwa awali.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
after the new qatari administration announced that 250 employees in the widely read islamonline news website (iol) would be laid off, hundreds of employees, editors, and journalists started an angry sit-in.
baada ya uongozi mpya wa qatari kutangaza kuwa wafanyakazi 250 watapunguzwa kazi katika mtandao wa habari unaosomwa sana wa islamonline (iol), mamia ya wafanyakazi, wahariri, na waandishi wa habari walianza mgomo wa kuonyesha hasira yao.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
and they who do not call upon another god with allah and do not slay the soul, which allah has forbidden except in the requirements of justice, and (who) do not commit fornication and he who does this shall find a requital of sin;
na wale wasio mwomba mungu mwengine pamoja na mwenyezi mungu, wala hawaui nafsi aliyo iharimisha mwenyezi mungu isipo kuwa kwa haki, wala hawazini - na atakaye fanya hayo atapata madhara,
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:
関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。