プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
the subway is quite reminiscent to the london tube except that it’s much cleaner and a person like me sticks out like a sore thumb (as if a tall fat sweaty hairy arab wouldn’t stick out anywhere).
njia ya treni za chini kwa chini inanikumbusha ile ya kule landani tofauti tu ni kwamba hii ni safi zaidi na mtu kama mimi nakuwa nimejitokeza mno kama dole gumba lililovimba (bila shaka mahali popote mwarabu mrefu, mnene mwenye vinyweleo na jasho jingi angeonekana zaidi).