プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
although i intended to write my feelings, yet am leaving this post incomplete…
pamoja na kuwa nililenga kuandika mawazo yangu, ninaiacha makala hii bila kuimalizia…
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
nelson mandela once said “we know too well that our freedom is incomplete without the freedom of the palestinians.”
nelson mandela aliwahi kusema "tunajua vizuri kuwa uhuru wetu haujakamilika bila uhuru wa wa-palestina."
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
i hereby accept that my actions were due to my ignorance, inexperience, foolishness, and an incomplete understanding of their work process.
ninakubali kwamba vitendo vyangu hivi vilikuwa kwa sababu ya kutojua, kukosa uzoefu, ujinga, na kukosa uelewa kabisa wa kazi zinazofanywa na wenzangu.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
the sad thing that i would like to address here is, that after 3 years, the person i hoped and wished to be able to accept me for what i am, still cannot accept it and look at me as i am incomplete.
jambo la huzuni ninalotaka kusema hapa, ni kuwa baada ya miaka 3, mtu ambaye nilitarajia na kutumaini kuwa angenipokea kama nilivyo, hajaweza kuikubali hali na ananiangalia kama vile sijatimia.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
o people! if you are in doubt about the raising, then surely we created you from dust, then from a small seed, then from a clot, then from a lump of flesh, complete in make and incomplete, that we may make clear to you; and we cause what we please to stay in the wombs till an appointed time, then we bring you forth as babies, then that you may attain your maturity; and of you is he who is caused to die, and of you is he who is brought back to the worst part of life, so that after having knowledge he does not know anything; and you see the earth sterile land, but when we send down on it the water, it stirs and swells and brings forth of every kind a beautiful herbage.
na wapo katika nyinyi wanao kufa, na wapo katika nyinyi wanao rudishwa kwenye umri wa unyonge kabisa, hata mtu awe hajui kitu baada ya kuwa anakijua. na unaiona ardhi imetulia kimya, lakini tunapo yateremsha maji juu yake husisimka na kututumka, na kumea kila namna ya mimea mizuri.
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質: