検索ワード: instagram (英語 - スワヒリ語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

instagram

スワヒリ語

instagram

最終更新: 2021-05-15
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

images of x dating instagram

スワヒリ語

picha za x kutombana instagram

最終更新: 2019-10-21
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

photo by instagram user deception.

スワヒリ語

picha na mtumiaji wa mtandao wa instagram anayejiita deception.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

screenshot of ugaaso boocow's instagram account.

スワヒリ語

picha ya anuani ya mtandao wa instagram wa ugaaso boocow.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

nilikuona instagram nikaona nikutafute sababu nimevutiwa kuwa rafiki ako

スワヒリ語

nilikuona instagram nikaona nikutafute sababu nimevutiwa kuwa rafiki yako

最終更新: 2021-10-21
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

image shared from a malaysia airlines flight attendant's instagram

スワヒリ語

picha iliyowekwa na mhudumu wa shirika la ndege la malaysia instagram

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

gaby silva published a video on instagram of the demonstration by a group of venezuelans in madrid.

スワヒリ語

gaby silva aliweka video kwneye mtandao wa instagram inayoonyesha maandamano yaliyofanywa na kikundi cha wavenezuela jijini madrid.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

so far, it has more than 61,400 followers in instagram and more than 7,600 followers on facebook.

スワヒリ語

hadi sasa, mradi huu una zaidi ya wafuatiliaji 61,400 katika instagram na zaidi ya wafuatiliaji 7,600 kwenye facebook.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

but to keep in touch with her friends and family back in canada, she started posting pictures and short videos to instagram.

スワヒリ語

hata hivyo, ili kuweza kuwasiliana na rafiki zake na familia yake inayoishi nchini kanada, ilibidi kuanza kuweka picha na video fupi fupi kwenye mtandao wa instagram.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

a malaysia airlines flight attendant highlighted the loss of lives on mh17 as well as mh370, sharing a picture on twitter and instagram:

スワヒリ語

mhudumu wa ndege ya shirika la ndege la malaysia alijadili kwa uchache kuhusiana na idadi kubwa ya watu kupoteza maisha kwenye ndege hiyo aina ya mh17 pamoja na ile yamh370, kwa kuweka picha katika ukurasa wa twita na instagram:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

#dearnyerere, in your day, popularity was based on good deeds towards your country, but nowadays it is the number of followers on instagram and twitter.

スワヒリ語

'enzi zako, umaarufu ulitokana na matendo mema'

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

on facebook the page sos venezuela collects a large number of photos, which are also published with the tags #iamyourvoicevenezuela #sosvenezuela and #prayforvenezuela on twitter and instagram.

スワヒリ語

kwenye ukurasa wa facebook uitwao sos venezuela picha nyingi zinakusanywa, ambazo pia zinachapishwa kwa alama habari ya #iamyourvoicevenezuela #sosvenezuela na #prayforvenezuela kwenye mtandao wa twita na instagram.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

mnarfezhom is accused of four separate counts of insulting and slandering people, attacking their honour and reputation and offending bahraini families using indecent expressions through social media accounts on twitter and instagram under the names al raqeeb, ahfad al waleed, ahfad omar and mnarfezhom.

スワヒリ語

mnarfezhom anatuhumiwa kutumia majina manne tofauti kuwatukana na kuwadhalilisha watu, akiwavunia heshima na hadhi yao na kudhalilisha familia za wabahraini kwa kutumia maneno ya kuudhi kupitia mitandao ya kijamii ya twita na instagram kwa kutumia majina manne tofauti al raqeeb, ahfad al waleed, ahfad omar na mnarfezhom.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,790,307,966 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK