検索ワード: judgeth (英語 - スワヒリ語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

judgeth

スワヒリ語

judgeth

最終更新: 2024-05-15
使用頻度: 1
品質:

英語

he judgeth between you. allah is knower, wise.

スワヒリ語

na mwenyezi mungu ni mwenye kujua, mwenye hikima.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

and i seek not mine own glory: there is one that seeketh and judgeth.

スワヒリ語

mimi sijitafutii utukufu wangu mwenyewe; yuko mmoja mwenye kuutafuta utukufu huo, naye ni hakimu.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

英語

but he that is spiritual judgeth all things, yet he himself is judged of no man.

スワヒリ語

lakini mtu aliye na huyo roho anaweza kubainisha ubora wa kila kitu, naye mwenyewe hahukumiwi na mtu mwingine.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

英語

whoso judgeth not by that which allah hath revealed: such are evil-livers.

スワヒリ語

na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha mwenyezi mungu basi hao ndio wapotofu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

allah judgeth with truth, while those to whom they cry instead of him judge not at all.

スワヒリ語

na mwenyezi mungu huhukumu kwa haki; lakini hao wanao waomba badala yake hawahukumu chochote.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

that is the judgment of allah; he judgeth between you, and allah is knowing, wise.

スワヒリ語

hiyo ndiyo hukumu ya mwenyezi mungu anayo kuhukumuni. na mwenyezi mungu ni mwenye kujua, mwenye hikima.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

and follow thou whatsoever is revealed unto thee, and endure until allah judgeth, and he is the best of judges.

スワヒリ語

na wewe fuata yanayo funuliwa kwako kwa wahyi. na vumilia mpaka mwenyezi mungu ahukumu, na yeye ndiye mbora wa mahakimu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

and whosoever judgeth not by that which allah hath sent down - those then! they are the wrong-doers.

スワヒリ語

na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha mwenyezi mungu, basi hao ndio madhaalimu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

he that rejecteth me, and receiveth not my words, hath one that judgeth him: the word that i have spoken, the same shall judge him in the last day.

スワヒリ語

asiyeyashika maneno yangu anaye wa kumhukumu: neno lile nililosema ni hakimu wake siku ya mwisho.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

英語

wherefore fear not the mankind but fear me, and barter not my revelations for a small price, and whosoever judgeth not by that which allah hath sent down - those then they are the infidels.

スワヒリ語

wala msibadilishe aya zangu kwa thamani chache. na wasio hukumu kwa aliyo teremsha mwenyezi mungu, basi hao ndio makafiri.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

and let the people of the injil judge by that which allah hath sent down therein; and whosoever judgeth not by that which allah hath sent down, then those! - they are the transgressors.

スワヒリ語

na wahukumu watu wa injili kwa yale aliyo teremsha mwenyezi mungu ndani yake. na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha mwenyezi mungu basi hao ndio wapotofu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

the eldest of them said: know ye not that your father hath taken an assurance from you before allah? and aforetime ye have been remiss in your duty in respect of yusuf; i so will by no means go forth from the land until my father giveth me leave or allah judgeth for me, and he is the best of judges.

スワヒリ語

hamjui ya kwamba baba yenu amechukua ahadi kwenu kutokana na mwenyezi mungu, na kabla ya hapo mlimkosa katika agano lenu juu ya yusuf? basi mimi sitotoka nchi hii mpaka baba yangu anipe ruhusa au mwenyezi mungu anihukumie.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,786,532,707 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK