プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
krstina lantao, southern mindanao region
krstina lantao, eneo la kusini mwa mindanao
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
the militarization of indigenous communities has led to massive evacuations of thousands of lumad across mindanao.
utoaji wa mafunzo ya kijeshi kwa baadhi ya jamii ya watu wazawa imepelekea kuhama kwa maelfu ya watu wa lumad kutoka mindanao.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
in mindanao island, located in the southern part of the country, the collective term for ethnic groups is lumad.
katika kisiwa cha mindanao, kilichopo kaskazini mwa ufilipino, jamii ya watu wa huko hujulikana kwa jina la lumad.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
a former child worker from mindanao, pitang, shares her experience in the plantations during a recent public forum organized by eiler:
pitang, kutoka mindanao, ambaye ni mmoja wa watoto waliokuwa wakitumikishwa aelezea uzoefu wake wa kufanya kazi kwenye mashamba makubwa wakati wa mijadala ya wazi iliyoandaliwa na eiler:
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
lumad is a collective term referring to the indigenous tribes in mindanao, the philippines’ second biggest island located in the southern part of the country.
lumad ni neno linalotumika kutambulisha makabila ya wazawa wa mindanao, kisiwa cha pili kwa ukubwa nchini ufilipino kilichopo upande wa kusini wa nchi hii.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
federico, who is a mandaya (lumad indigenous people from the eastern part of mindanao), encourages younger artists to enrich their knowledge of philippine culture by integrating with ethnic communities.
federico, ambaye ni wa kabila la mandaya (jamii ya wazawa wa lumad kutoka mashariki ya mindanao), anawahamashisha wasanii wachanga kuongeza maaarifa yao kuhusu utamaduni wa ufilipino kwa kujumuika na jamii za wazawa.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
over 700 lumad (indigenous peoples from the southern philippine island of mindanao) traveled thousands of kilometers and set up protest camps in the nation's capital of manila in october 2015 to demand the removal of troops and paramilitary forces from their communities.
mnamo oktoba, 2015, zaidi ya watu 700 wa jamii ya lumad (raia wazawa kutoka katika kisiwa cha mindanao kilichopo kusini mwa nchi ya ufilipino) walisafiri maelfu ya kilomita ikiwa ni pamoja na kuweka kambi katika jiji la manila kwa lengo la kushinikiza kuondolewa kwa wanajeshi pamoja na kusitisha matumizi ya nguvu za kijeshi katika jamii zao.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質: