プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
minimum of 4 terms of course!
mihula minne iwe ni kiwango cha chini kabisa!
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
restaurants (if they are even open) require a minimum distance between customers
mikahawa (kama imefunguliwa) inahitaji umbali wa chini unaoruhusiwa kati ya wateja
最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:
when minimum standards are achieved, schools can move from one to ultimately three stars.
wakati viwango vya chini vimetimizwa, shule zinaweza kusonga kutoka nyota moja hadi mwishowe nyota tatu.
最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:
media contacts were limited to a bare minimum (which produced much confusion).
mawasiliano ya vyombo vya habari yalikuwa kwa kiasi cha kuwa kidogo sana (jambo ambalo lilisababisha mkanganyiko mkubwa).
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
"the inescapable minimum that we insist upon is obedience to the law," mr abbott said.
“jambo la chini kabisa lisiloepukika ambalo tunalisisitiza ni utii wa sheria,” alisema bw. abbott.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
@redbelt: in my opinion, the minimum wage decree for saudis is very bad in the long run. #ksa
@redbelt: kwa maoni yangu, tamko kuhusu kiwango cha chini cha mshahara kwa raia wa saudia ni kibaya sana kwa kutazama mbele zaidi. #ksa
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
moreover, if the constitutional court confirms the judgment it would be desirable for parliament to pass legislation to establish a system with minimum safeguards in order to protect patients.
zaidi, kama mahakama ya katiba itapitisha hukumu hiyo basi itafaa kwa bunge kupitisha mfumo utakaowalinda wagonjwa.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
each african government has chosen a system specific to its culture, with varying degrees of success, but all recognize the necessity of protecting at a minimum the most vulnerable populations.
kila serikali ya nchi za afrika imechagua mfumo mahususi unaoendana na utamaduni wake, wenye viwango tafauti vya mafanikio, lakini zikitambua umuhimu wa kulinda angalau kwa kiwango cha chini, idadi kubwa ya watu wanaokabiliwa na vitisho mbalimbali.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
among their demands were the “fulfillment of the minimum wage, health insurance and safety for workers, as well as refusing outsourcing.”
baadhi ya madai yao, yalikuwa "kuongezwa kwa kima cha chini cha mshahara, bima ya afya na usalama kwa wafanyakazi, pamoja na kukataa misaada ya nje.”
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
adding diluted hydrogen-peroxide increases further the antimicrobial activity.hand sanitizers containing a minimum of 60 to 95% alcohol are efficient germ killers.
kuongeza haidrojeni peroksaidi iliyoyeyushwa huzidisha shughuli ya kupambana na uchafu.vieuzi vya mikono vilivyo na angalau 60 hadi 95% ya alkoholi hufaa katika kuuwa viini.
最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:
an anti-corruption committee would also be formed; saudi workers would benefit from a minimum wage; and military and police officers would get the promotions they deserve.
vilevile kuna mpango wa kuunda kamati ya kudhibiti rushwa; wafanyakazi wa saudia watanufaika na kima cha chini cha mshahara; wakati ambapo wanajeshi na askari polisi watapandishwa vyeo kama wanavyostahili.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
required virtual size does not fit available size: requested=(%d, %d), minimum=(%d, %d), maximum=(%d, %d)
mirrorpantallas en espejo", *not* "espejar pantallas
最終更新: 2014-08-15
使用頻度: 3
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています