検索ワード: provinces (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

provinces

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

meanwhile, the epidemic rapidly spread to the neighboring cities, provinces, and countries.

スワヒリ語

kwa sasa, janga hili lilienea haraka katika miji, mikoa na nchi jirani.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

cambodians coming from various provinces and regions were united in mourning the death of king norodom sihanouk.

スワヒリ語

watu wa kambodia kutoka katika majimbo na maeneo mbalimbali waliungana kuomboleza kifo cha mfalme norodom sihanouk.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the provinces of leyte and samar are among the most badly-hit areas with many villages reduced into wasteland.

スワヒリ語

mikoa ya leyte na samar ni miongoni mwa maeneo mengi iliyoathirika vibaya na vijiji vingi kuharibika na kubaki nyika.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

tribe of jinn and of human, if you are able to penetrate the provinces of heaven and earth, pass through them!

スワヒリ語

enyi makundi ya majini na watu! mkiweza kupenya kwenye mbingu na ardhi, basi penyeni!

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

only half of health clinics in the typhoon-damaged provinces have resumed operations which undermined the health of mothers and newborns.

スワヒリ語

ni nusu tu ya vituo vya afya katika mikoa iliyoathirika na kimbunga zimerudisha tena shughuli za kawaida hali ambayo imedhoofisha afya ya akina mama na watoto wanaozaliwa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

let me submit however that, zambia is not lacking intelligent presidents , but a system which allows provinces and districts to flourish without looking to lusaka.

スワヒリ語

naomba kuwasilisha hata hivyo kwamba, zambia haina tatizo la ukosefu wa marais wenye akili, bali mfumo unaoyawezesha majimbo na wilaya kujiendeleza bila kulazimika kuitegemea lusaka.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

on 23 february, iran's ministry of health announced the closure of universities, higher educational institutions and schools in several cities and provinces.

スワヒリ語

tarehe 23 februari, wizara ya afya ya irani ilitangaza kufungwa kwa vyuo vikuu, taasisi za masomo ya juu na shule katika miji na mikoa kadhaa.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

in plantations, trucks pick children up from their homes and bring them to makeshift tents located in nearby provinces to stay and work for periods lasting from two weeks to a month without their parents.

スワヒリ語

kwenye mashamba makubwa, magari huwachukua watoto kutoka majumbani kwao na kuwapeleka kujenga mahema karibu na maeneo ya miji na kasha huishi humo wakifanya kazi kwa vipindi vya kati ya wiki mbili hadi mwezi mmoja na bila ya kuwa na wazazi wao.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

in early and mid-january 2020, the virus spread to other chinese provinces, helped by the chinese new year migration and wuhan being a transport hub and major rail interchange.

スワヒリ語

mwanzoni na katikati ya januari 2020, virusi vilienea hadi mikoa mengine ya uchina, ikifadhiliwa na usafiri wa mwaka mpya wa kichina na wuhan kuwa kituo cha usafiri na kituo kuu cha ubadilishanaji wa reli.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

500,000 people are reportedly trapped in villages without electricity, gas or water after a massive snow storm this weekend in iran's northern provinces, gilan and mazandaran.

スワヒリ語

inataarifiwa kuwa watu 500,000 wameshindwa kutoka katika vijiji wanavyoishi huku wakikosa huduma ya umeme, nishati ya gesi pamoja na maji hali iliyotokana na kutanda kwa theluji mwisho wa wiki hii kaskazini mwa nchi ya iran katika majimbo ya, gilan na mazandaran.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

many of china's nearly 300 million rural migrant workers have been stranded at home in inland provinces or trapped in hubei province.in march 2020, more than 10 million americans lost their jobs and applied for government aid.

スワヒリ語

wengi kati ya wafanyakazi milioni 300 waliohama kutoka mashambani wamekwama nyumbani katika mikoa nchini au kuzuiwa mkoa wa hubei.mnamo machi 2020, zaidi ya wamerekani milioni 10 walipoteza kazi zao na kuomba msaada wa serikali.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

as a consequence, the regime’s police forces responded with a repressive operation which began days prior, resulting in the arrests of countless of these women throughout all of the island’s provinces.

スワヒリ語

matokeo yake, vikosi vya polisi vya nchi hiyo vilijibu mapigo kwa operesheni maalumu ya kikandamizi iliyoanza siku chache kabla, na kusababisha kukamatwa kwa idadi kubwa ya wanawake hawa katika majimbo yote ya kisiwa hicho.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

province

スワヒリ語

jimbo

最終更新: 2015-03-08
使用頻度: 6
品質:

参照: Wikipedia

人による翻訳を得て
7,780,831,250 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK