検索ワード: taiwan (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

taiwan

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

god bless taiwan.

スワヒリ語

mungu ibariki taiwan.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

leopard cat is listed as a vulnerable species in taiwan.

スワヒリ語

chui wameorodheshwa kama wanyama wanaoishi kwenye mazingira magumu nchini taiwan.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

global voices special coverage on taiwan's sunflower protests

スワヒリ語

habari zetu maalumu za global voices kuhusu maandamano ya alzeti nchini taiwani

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the translated articles will be published on the blog taiwan, not for sale.

スワヒリ語

makala yanayotafsiriwa yanachapishwa kwenye blogu ya taiwan, haiuzwi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

it said "taiwan has sun flower movement, hong kong has sunshade movement".

スワヒリ語

linasema, “taiwani ina vugu vugu la alizeti, hong kong ina vugu vugu la kivuli”

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

bodyguards and assassins is an action movie released during christmas in china, hong kong and taiwan.

スワヒリ語

bodyguards and assassins (walinzi na wauaji) ni filamu ya kuchangamsha iliyotolewa wakati wa krismasi huko china, hong kong na taiwan.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

a facebook page was set up so people who want to protect the leopard cats in taiwan can be well informed and mobilized.

スワヒリ語

ukurasa wa facebook ulianzishwa ili watu ambao wanaotaka kuwalinda chui nchini taiwan waweza kupata taarifa vizuri na kuhamasishwa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

a marriage equality bill was presented to the legislative yuan by the taiwan alliance to promote civil partnership rights in 2012.

スワヒリ語

muswada wa usawa wa haki ya ndoa ulipelekwa bungeni na taasisi ya umoja wa kukuza haki za ushiriki wa kiraia nchini taiwan mwaka 2012.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

taiwan: a family's forced eviction casts shadow on urban renewal act · global voices

スワヒリ語

taiwan: kufukuzwa kwenye nyumba kwa nguvu kwa familia kwaitia dosari sheria ya ufufuaji miji

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

regions with schools remaining open included taiwan, singapore, australia, sweden, and some u.s. states.

スワヒリ語

maeneo ambapo bado shule zimesalia kufunguliwa ni pamoja na taiwan, singapore, australia, uswidi na baadhi ya majimbo nchini marekani.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

on gv face today we talk to portnoy zheng, co-editor of global voices in chinese on how the protests have been received in taiwan.

スワヒリ語

kwenye mazungumzo ya gv leo tunazungumza na mwandishi wetu wa taiwani i-fan lin and portnoy zheng, mhariri mshiriki wa global voices kichina kuhusu namna maandamano hayo yalivyopokelewa nchini taiwani.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

since the big cats live in the forests and jungles in both plains and in hilly areas and their home range is very broad, their habitats in taiwan are easily disturbed by new construction projects.

スワヒリ語

kwa kuwa chui wakubwa huishi misituni na mwituni katika maeneo tambarare na yale yenye milima na makazi yao ni aina tofauti sana. makazi yao nchini taiwan yanasumbuliwa kwa sababu ya miradi mipya ya ujenzi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

about 70,000 people attended taiwan's lgbt pride parade on october 25 to celebrate the diversity of sexual orientation and gender identity and encourage the public to do the same.

スワヒリ語

kiasi cha watu 70,000 walihudhuria matembezi ya fahari ya mashoga na wasagaji nchini taiwani mnamo oktoba 25 katika kusherehekea tofauti za hisia za kimapenzi na utambulisho wa kijinsia na kuuhamasisha umma kuiga mfano huo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

citizens of taiwan are now occupying the legislative yuan(legislature), opposing the unjust passing of the cross-strait agreement on trade in services.

スワヒリ語

raia wa taiwan hivi sasa wanakusanyika kwenye viwanja vya bunge la nchi hiyo (yuan), wakipinga kupitishwa kwa mkataba usio wa haki wa kuruhusu wafanyabiashara kupita bila kukaguliwa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

flipboard says global voices will initially be added to content guides for users in japan, hong kong, taiwan, france, spain, brazil, italy, russia, arabic.

スワヒリ語

mtandao wa flipboard unasema global voices itaongezwa kwenye mwongozo wa maudhui kwa watumiaji wanaoishi japan, hong kong, taiwan, ufaransa, uhispania, brazil, italia, urusi, uarabuni.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

if a potential risk is detected, the app not only recommends self-quarantine, it also alerts local health officials.big data analytics on cellphone data, facial recognition technology, mobile phone tracking and artificial intelligence are used to track infected people and people whom they contacted in south korea, taiwan and singapore.

スワヒリ語

ikiwa hatari inayowezekana imegunduliwa, programu haipendekezi tu kujitenga, lakini pia inawaarifu maafisa wa afya wa ndani. uchanganuzi mkubwa wa data ya simu, teknolojia ya utambuzi wa uso, ufuatiliaji wa simu ya mkononi na ufahamu wa mashine hutumika kufuatilia watu walioambukizwa na waliotangamana nao huko korea kusini, taiwan na singapoo.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,781,381,699 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK