プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
and a man came from the uttermost part of the city, running. he said: o moses!
na akaja mtu kutoka mwisho wa mji akipiga mbio, akasema: ewe musa!
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:
and there came from the uttermost part of the city a man running. he cried: o my people!
na akaja mtu mbio kutokea upande wa mbali wa mjini, akasema: enyi watu wangu!
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:
and then shall he send his angels, and shall gather together his elect from the four winds, from the uttermost part of the earth to the uttermost part of heaven.
kisha atawatuma malaika wake; atawakusanya wateule wake kutoka pande zote nne za dunia, kutoka mwisho wa dunia mpaka mwisho wa mbingu.
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
and when felix heard these things, having more perfect knowledge of that way, he deferred them, and said, when lysias the chief captain shall come down, i will know the uttermost of your matter.
hapo, felisi, ambaye mwenyewe alikuwa anaifahamu hiyo njia vizuri, aliahirisha kesi hiyo. akawaambia, "nitatoa hukumu juu ya kesi hiyo wakati luisa, mkuu wa jeshi, atakapokuja hapa."
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
but ye shall receive power, after that the holy ghost is come upon you: and ye shall be witnesses unto me both in jerusalem, and in all judaea, and in samaria, and unto the uttermost part of the earth.
lakini wakati roho mtakatifu atakapowashukieni ninyi, mtajazwa nguvu na mtakuwa mashahidi wangu katika yerusalemu, katika nchi yote ya yudea na samaria, na hata miisho ya dunia."
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
the queen of the south shall rise up in the judgment with this generation, and shall condemn it: for she came from the uttermost parts of the earth to hear the wisdom of solomon; and, behold, a greater than solomon is here.
malkia wa kusini atatokea wakati kizazi hiki kitakapohukumiwa, naye atakihukumu kwamba kina hatia. maana yeye alisafiri kutoka mbali akaja kusikiliza maneno ya hekima ya solomoni, na kumbe hapa kuna kikuu kuliko solomoni.
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質: