プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
now i was in an afrikaans school and i was also in the voortrekkers.
sasa nilikuwa katika shule ya lugha ya afrikaans na pia nilikuwa kwenye kikundi cha voortrekkers.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
for those who don’t know, the voortrekkers is like the boy scouts, but it celebrates the heritage of the afrikaner nation who moved from the coastal regions inland toward what is now known as the freestate, gauteng, mpumalanga and limpopo.
na kwa wale wasiofahamu, voortrekkers ni sawa na chama cha maskauti, lakini wao wanasherehekea urithi wa taifa la makaburu (afrikaner) ambao walisafiri kutokea sehemu za pwani kuelekea ndani kwenye sehemu inayojulikana hivi sasa kama freestate, gauteng, mpumalanga na limpopo.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質: