전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
epuka
i deceive myself
마지막 업데이트: 2021-05-21
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
epuka hasa usafiri wa meli za abiria.
particularly avoid cruise ship travel.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
epuka maeneo yenye watu wengi ikiwezekana.
avoid crowded places whenever possible.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
epuka mbinu zinazohitaji mawasiliano ya uso kwa uso.
avoid learning methodologies that require face-to-face communication.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
epuka kugusa macho, pua na mdomo wako kwa mikono yako.
avoid touching your eyes, nose and mouth with your hands.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
epuka ubishi wa kijinga na kipumbavu; wajua kwamba hayo huleta magomvi.
but foolish and unlearned questions avoid, knowing that they do gender strifes.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
epuka na kuwashughulisha sana wanafunzi na wazazi kwa kuwauliza kupakua na kujaribu programu nyingi sana au jukwaa tofauti.
avoid overloading students and parents by asking them to download and test too many applications or platforms.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
epuka kununua tiketi zinazounganisha safari katika eneo lililoathirika - hata kubdilisha ndege kunaweza kufanya uwekewe vikwazo.
avoid buying tickets with a connection in an affected area – even changing planes can make you subject to restrictions.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
epuka kukumbatiana, kupigana busu, kusalimiana kwa mikono, kusalimiana kwa ngumi, na mgusano wa aina yoyote.
avoid hugs, kisses, handshakes, fist bumps, and any other contact.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
epuka maeneo yenye watu wengi, hasa maeneo yaliyofungwa bila hewa ya kutosha, kama vile mikutano, maonyesho, duka kuu za ununuzi, usafiri wa umma, na ibada za kidini.
avoid crowded areas, especially enclosed areas without much air circulation, such as conferences, performances, shopping malls, public transportation, and religious services.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
kwenye ndege, fuata tabia zile za usafi kama mahali pengine popote: nawa mikono yako mara kwa mara, au utumie kisafisha mikono chenye kileo ikiwa si rahisi kuondoka kwenye kiti chako, epuka kugusa uso wako.
on a plane, follow the same hygiene practices as anywhere else: wash hands frequently, or use alcohol-based hand sanitizer if it's not convenient to leave your seat, and avoid touching your face.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
ikiwa ni lazima usafiri, kuwa mwangalifu kama ungelikuwa kwa maambukizi mengine; nawa mijkono yako mara kwa mara, epuka kugusa uso wako, kukokoa na upige chafya kwenye kiwiko chako au tishu, na uepuke kugusana na watu wagonjwa.
if you do need to travel, take precautions as you would for other infections: wash your hands frequently, avoid touching your face, cough and sneeze into your elbow or a tissue, and avoid contact with sick people.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인: