검색어: kufikiria (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kufikiria

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kamwe kufikiria juu yake

영어

never thought about it

마지막 업데이트: 2021-08-12
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kufikiria juu yako mpenzi wangu

영어

love you much

마지막 업데이트: 2020-11-09
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

je! umewahi kufikiria juu ya uchaguzi

영어

have you ever thought about a dying

마지막 업데이트: 2024-01-01
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ama kweli! unaweza kufikiria ingekuwaje kama asingepunguza kasi?

영어

what the hell! can you imagine what the record would have been if he didn't ease up?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ni bora zaidi kufikiria utengano ambao unaonekana kuwa umekumba spla.

영어

it is more fruitful instead to think about the apparent collapse in cohesion of spla.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: hakuna kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea,

영어

settle it therefore in your hearts, not to meditate before what ye shall answer:

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hata vijana wadogo wa miaka 23 wanaanza kufikiria hatua watakazochukua ili kujijengea nyumba je iweje basi kwa rais wa zamani.

영어

even young guys at the ages of 23yrs begin thinking or taking steps to build their own homes how much more a former president.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

jambo moja tu ni kwamba, unaweza kufikiria ni muda gani angetumia kama angalikimbia kwa uwezo wake wote tangu mwanzo mpaka mwisho wa shindano?!

영어

the only thing is, can you imagine what time he might have got if he ran his utmost best for the whole race?!

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mtu anaweza kufikiria siku fulani kuwa ya maana zaidi kuliko nyingine; mtu mwingine aweza kuzifikiria siku zote kuwa sawa. kila mmoja na afuate msimamo wa akili yake.

영어

one man esteemeth one day above another: another esteemeth every day alike. let every man be fully persuaded in his own mind.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

bila ya mwanga wake kuongoza, ni vigumu kufikiria jinsi harakati ya kidemokrasia itakavyokumbwa na changamoto nyingi zijazo wakati huu wa kidemokrasia mpito usiotabiriki, ambapo bado kuna mbwa mwitu wengi waliovaa mavazi ya kondoo.

영어

without his guiding light, it’s hard to imagine how the democracy movement will treat the many challenges ahead during this unpredictable democratic transition, where there are still many wolves in sheep’s clothing.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

shule yetu ni kubwa sana na mito mingi kutoka kwa mwandamizi1 hadi mwandamizi 6 walimu ni wazuri sana, wanajali na wanapenda kazi ya kufundisha. kila kitu ni safi kila kitu ni safi kila wakati na unaweza kufikiria ni mpya. walimu wa shule za msingi daima wanatuachia sisi na walimu

영어

our school is so big with many streams from from senior1 to senior 6 the teachers are so lovely ,caring and they love the job of teaching. everything is always clean everything it's always clean and you may think it's new. the canteens are always busy providing it to us and the teachers

마지막 업데이트: 2023-09-25
사용 빈도: 2
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hata kama ndoa haina afya, hata kama ndoa yenyewe ni ya mateso, mtu huamua kuendelea na ndoa kwa sababu pengine hawezi kufikiria kuishi peke yake, amechoka sana na anakubali kuwa hiyo ndiyo hatima yake, au ni mtegemezi (hususan kwa wanawake).

영어

even if the marriage is not healthy, even if it is abusive, one choose to be still married because either cannot imagine living by themselves, too tired and just accept that this is fate , or economically dependant (usually woman).

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,720,559,931 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인