검색어: kujeruhiwa (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kujeruhiwa

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

palestina: gaza yashambuliwa, watu 12 wauwawa na wengine wengi kujeruhiwa

영어

palestine: gaza under attack - again · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kulikuwa na taarifa za watu kujeruhiwa na kuanguka kwa nyumba shauri ya mtikisiko mkubwa.

영어

there were reports of injured people and collapsing of houses as a result of the movement.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

rambirambi zangu ziwafikie familia za wale wote waliouwawa na kujeruhiwa katika shambulio hili linalochefua.

영어

my condolences to the families of those who were killed and injured in this disgusting attack.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

maandamano hayo ya upinzani mpaka sasa yamesababisha vifo vya watu watano na na dazeni wengine kujeruhiwa kwa risasi.

영어

the protests have so far left five people dead and dozens injured with bullets.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati maandamano yakiwa yanafanana katika eneo hilo, idadi ya watu waliouawa na kujeruhiwa si ya kawaida kabisa.

영어

while demonstrations are common in the area, the number of persons killed and injured is highly unusual.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@tahirulqadri: huruma ya moyo wangu ni kwa mwenyekiti wa pti, ndugu imran khan kwa kujeruhiwa.

영어

@tahirulqadri: my heartfelt sympathy goes out to pti chairman imran khan on sustaining injury.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ilikuwa inaelekea usiku wa manane wakati milipuko hiyo ikitokea, shambulizi ambalo liliwaacha watu sabini wakiwa wamefariki papo hapo na wengine kujeruhiwa.

영어

it was approaching 12am when the bombs took off, leaving over 70 people dead on the spot and others injured.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hali ya mambo nchini venezuela yaendelea kuzorota, huku pakiwa na maandamano na mikusanyiko nchi nzima ayalisababisha vifo vya watu kumi na mamia kujeruhiwa mpaka sasa.

영어

the situation in venezuela continues to be extremely tense, with enormous marches and gatherings around the whole country that have left ten people killed and hundreds wounded.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mtu mmoja alifariki na wengine 15 kujeruhiwa vibaya, huku idadi ya nyumba zinazokadiriwa kufikia 82,000 zikiripotiwa kukosa huduma ya nishati ya umeme.

영어

one person died, 15 people were seriously injured and around 82,000 homes reportedly suffered power cuts.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa sababu ya kukosekana kwa watu wengi na wengineo kujeruhiwa, watu wengi wanatafuta habari kuhusu hali na maendeleo ya marafiki na wapenzi wao waliokwama kwenye mlima huo wakati wa mlipuko.

영어

due to the many missing and wounded, many people are looking for updates on the status and whereabouts of friends and loved ones caught on the mountain during the eruption.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

unaweza kusajili kuwa hakuna aliyeripotiwa kufa au hata kujeruhiwa nab ado walioathirika walipata jumla ya kwacha milioni 5.linganisha hilo na karonga ambapo ni kwacha milioni 2.5 tu zilizotolewa na dk.

영어

you may wish to note that no one was reported dead or even injured yet the victims got over 5 million kwacha in total.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@mansoor_aljamri: tunatumaini kwamba wizara ya mambo ya ndani itatangaza katika mkutano wa vyombo vya habari majina na uraia wa wale waliouawa na kujeruhiwa.

영어

@mansoor_aljamri: we hope the ministry of interior announces in its press conference the names and nationalities of those killed and injured.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

idadi ya walioteketezwa na kujeruhiwa ni kubwa mno hivi sasa – 521 na 3,000 kufikia asbuhi hii, kwa saa za gaza – kuketi pembeni ya maiti au mtu anayefariki inakuwa ni jambo la kawaida.

영어

the numbers slaughtered and injured are so high now – 521 and 3,000 as of this morning, gaza time — that sitting next to a dead or dying person is becoming normal.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mkutano wa hadhara wa mwisho kwa kampeni ya umeya wa chama cha upinzani cha mdm katika beira ulimalizika kwa watu watatu kuuawa na kadhaa kujeruhiwa - waliojeruhiwa ni pamoja na mwana wa mgombea - kufuatia mashambulizi ya polisi wa kutuliza ghasia ambao walitumia mabomu ya kutoa machozi na kufyatua risasi kwa hewa.

영어

the final mayoral campaign rally of opposition party mdm in beira ended with three people killed and several injured - the injured included the candidate's own son - following an attack by riot police who used tear gas grenades and shot bullets to the air.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,727,169,721 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인