검색어: bloggerkollektiv (독일어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

German

Swahili

정보

German

bloggerkollektiv

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

독일어

스와힐리어

정보

독일어

seit 2012 arbeitet das bloggerkollektiv zone 9 daran, zivilgesellschaftliches engagement und eine kritische auseinandersetzung mit sozialen und politischen themen in Äthiopien zu fördern.

스와힐리어

tangu mwaka 2012, wanablogu hao wa zone 9 wamekuwa wakifanya kazi kubwa ya kuwezesha ushirikishwaji wa kiraia pamoja na uchambuzi wa kina kuhusu masuala ya kijamii na kisiasa nchini ethiopia, wakifanya kazi sambamba na waandishi (ambao nao wamekamatwa) waliokuwa karibu nao ili kufikisha harakati hizo kwenye magazeti.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

독일어

einige von ihnen waren für das bloggerkollektiv zone 9 aktiv, das über soziale und politische themen in Äthiopien berichtete und sich für menschenrechte und rechenschaftspflicht der regierung eingesetzt hat.

스와힐리어

baadhi yao walifanya kazi na blogu ya pamoja iitwayo zone9 inayochambua masuala ya kijamii na kisiasa yanayoendelea nchini ethiopia ikiwa ni pamoja na kukuza uelewa wa haki za binadamu na uwajibikaji wa serikali kwa wananchi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

독일어

einige der besten blogs afrikas kommen aus kamerun und manche von ihnen sind im kameruner bloggerkollektiv (collectif des blogueurs camerounais) organisiert.

스와힐리어

baadhi ya blogu maarufu zaidi barani afrika zinatoka cameroon, baadhi zikiwa zinaratibiwa na na muungano wa wanablogu uitwao “collectif des blogueurs camerounais."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

독일어

einige von ihnen hatten für zone9 gearbeitet, einem bloggerkollektiv, das soziale und politische themen Äthiopiens bearbeitet und darüber hinaus für menschenrechte und eine rechenschaftspflicht der regierung eingetreten ist.

스와힐리어

baadhi ya wanaume na wanawake hawa walikuwa wakifanya kazi na zone9, blogu ya ushirika iliyokuwa inazungumzia masuala ya kijamii na ya kisiasa nchini ethiopia ikiwa ni pamoja na kuhamasisha uzingatiaji wa haki za binadamu na uwajibikaji wa serikali.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

독일어

ich glaube, es war edoms unbedingter wille zu sanften veränderungen der politischen landschaft Äthiopiens, die sehr stark polarisiert ist. dadurch entwickelte sich eine gewisse affinität zwischen ihr und dem bloggerkollektiv der zone9.

스와힐리어

ninaamini kuwa ilikuwa nidhamira chanya ya edom ya kuleta mageuzi sahihi ya siasa hafifu ya ethiopia ambayo pia ilipelekea yeye kuwa karibu zaidi na wanajumuia wa kublogu wa zone9.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

독일어

aktuellen nachrichten zufolge werden die blogger und journalisten außerdem beschuldigt, sich selbst im geheimen als bloggerkollektiv zone 9 organisiert zu haben. angesichts des naturgemäß öffentlichen blogs der zone 9 sowie im hinblick auf die von der gruppe unternommenen aktivitäten ist dies ein mehr als verwirrender anklagepunkt.

스와힐리어

kwa mujibu wa taarifa mpya za habari, wanablogu na waandishi hao wanatuhumiwa kujiunga kinyume na sheria kama muungano wa wanablogu wa zone9, shitaka la ajabu, kwa kuzingatia mwonekano wa wazi wa blogu ya zone9 na shughuli zinazoendeshwa na kikundi hicho.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

독일어

atnaf berhane, mitglied des bloggerkollektivs zone9, wurde verhaftet, weil er über menschenrechtsverletzungen in Äthiopien bloggte.

스와힐리어

atnaf berhane, mmoja wa wanablogu wanaounda kundi la wanablogu wa zone 9, amefungwa gerezani kwa sababu ya kublogu kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu nchini ethiopia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,728,298,142 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인