전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
regina austri surget in iudicio cum generatione ista et condemnabit eam quia venit a finibus terrae audire sapientiam salomonis et ecce plus quam salomon hi
malkia wa kusini atatokea wakati kizazi hiki kitakapohukumiwa, naye atakihukumu kwamba kina hatia. maana yeye alisafiri kutoka mbali akaja kusikiliza maneno ya hekima ya solomoni, na kumbe hapa kuna kikuu kuliko solomoni.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
regina austri surget in iudicio cum viris generationis huius et condemnabit illos quia venit a finibus terrae audire sapientiam salomonis et ecce plus salomone hi
malkia wa kusini atatokea wakati kizazi hiki kitakapohukumiwa, naye atashuhudia kwamba kina hatia. yeye alisafiri kutoka mbali, akaja kusikiliza maneno ya hekima ya solomoni; kumbe hapa pana mkuu zaidi kuliko solomoni.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질: