전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
erant autem omnes viri fere duodeci
wote jumla, walikuwa watu wapatao kumi na wawili.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
vespere autem facto venit cum duodeci
ilipokuwa jioni, yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
et mulier quae erat in profluvio sanguinis annis duodeci
mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
intravit autem satanas in iudam qui cognominatur scarioth unum de duodeci
basi, shetani akamwingia yuda aitwae iskarioti, mmoja wa wale mitume kumi na wawili.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
et manducaverunt omnes et saturati sunt et sublatum est quod superfuit illis fragmentorum cofini duodeci
wakala wote, wakashiba; wakakusanya makombo ya chakula, wakajaza vikapu kumi na viwili.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
et introivit hierosolyma in templum et circumspectis omnibus cum iam vespera esset hora exivit in bethania cum duodeci
yesu aliingia mjini yerusalemu akaenda moja kwa moja mpaka hekaluni, akatazama kila kitu kwa makini. lakini kwa vile ilikwisha kuwa jioni, akaenda bethania pamoja na wale kumi na wawili.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
et signum magnum paruit in caelo mulier amicta sole et luna sub pedibus eius et in capite eius corona stellarum duodeci
kisha ishara kubwa ikaonekana mbinguni. palikuwa hapo mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질: