전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
qui autem permanserit usque in finem hic salvus eri
lakini atakayevumilia mpaka mwisho, ataokoka.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
beatior autem erit si sic permanserit secundum meum consilium puto autem quod et ego spiritum dei habe
lakini, nionavyo mimi, atakuwa na heri zaidi kama akibaki hivyo alivyo. hayo ni maoni yangu, na nafikiri mimi pia ninaye roho wa mungu.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
qui autem perspexerit in lege perfecta libertatis et permanserit non auditor obliviosus factus sed factor operis hic beatus in facto suo eri
lakini mtu anayeangalia kwa makini sheria kamilifu ambayo huwapa watu uhuru, mtu anayeendelea kuizingatia, na si kuisikia tu na kuisahau baadaye, bali anaitekeleza, mtu huyo atabarikiwa katika kila kitu anachofanya.
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
quicumque enim ex operibus legis sunt sub maledicto sunt scriptum est enim maledictus omnis qui non permanserit in omnibus quae scripta sunt in libro legis ut faciat e
lakini wote wanaotegemea tu kutimiza yanayotakiwa na sheria, wako chini ya laana. maana, maandiko matakatifu yasema: "yeyote asiyeshika na kutimiza yote yaliyoandikwa katika kitabu cha sheria, yuko chini ya laana."
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다