전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
unakumbuka kwamba tangu utoto wako umeyajua maandiko matakatifu ambayo yaweza kukupatia hekima iletayo wokovu kwa njia ya imani kwa kristo yesu.
und weil du von kind auf die heilige schrift weißt, kann dich dieselbe unterweisen zur seligkeit durch den glauben an christum jesum.
aibu kwenu! ndiyo kusema hakuna hata mmoja miongoni mwenu mwenye hekima kiasi cha kuweza kutatua tatizo kati ya ndugu waumini?
euch zur schande muß ich das sagen: ist so gar kein weiser unter euch, auch nicht einer, der da könnte richten zwischen bruder und bruder?
basi sisi twafundisha, si kwa maneno tuliyofundishwa kwa hekima ya binadamu, bali kwa maneno tuliyofundishwa na roho, tukifafanua mambo ya kiroho kwa walio na huyo roho.
welches wir auch reden, nicht mit worten, welche menschliche weisheit lehren kann, sondern mit worten, die der heilige geist lehrt, und richten geistliche sachen geistlich.
wakati huo yesu alisema, "nakushukuru ee baba, bwana wa mbingu na dunia, maana umewaficha wenye hekima mambo haya, ukawafumbulia watoto wadogo.
zu der zeit antwortete jesus und sprach: ich preise dich, vater und herr himmels und der erde, daß du solches den weisen und klugen verborgen hast und hast es den unmündigen offenbart.
wakasema kwa sauti kuu: "mwanakondoo aliyechinjwa anastahili kupokea uwezo, utajiri, hekima, nguvu, utukufu na sifa."
und sie sprachen mit großer stimme: das lamm, das erwürget ist, ist würdig, zu nehmen kraft und reichtum und weisheit und stärke und ehre und preis und lob.
ujumbe wa kristo ukae ndani yenu pamoja na utajiri wake wote. fundishaneni na kushauriana kwa hekima yote. imbeni zaburi, nyimbo na tenzi za kiroho; mwimbieni mungu mioyoni mwenu kwa shukrani.
lasset das wort christi unter euch reichlich wohnen in aller weisheit; lehret und vermahnet euch selbst mit psalmen und lobgesängen und geistlichen lieblichen liedern und singt dem herrn in eurem herzen.