인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.
전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
bustani za milele zitazo funguliwa milango yao kwa ajili yao.
'adn-dschannat! für sie sind die türen voll geöffnet.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
"heri yenu ninyi watu wakiwatukana, wakiwadhulumu na kuwasingizia kila aina ya uovu kwa ajili yangu.
selig seid ihr, wenn euch die menschen um meinetwillen schmähen und verfolgen und reden allerlei Übles gegen euch, so sie daran lügen.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
anayeyashikilia maisha yake, atayapoteza; lakini anayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayapata.
wer sein leben findet, der wird's verlieren; und wer sein leben verliert um meinetwillen, der wird's finden.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
wao walihatarisha maisha yao kwa ajili yangu. wanastahili shukrani; si tu kutoka kwangu, bali pia kutoka kwa makanisa yote ya watu wa mataifa mengine.
welche haben für mein leben ihren hals dargegeben, welchen nicht allein ich danke, sondern alle gemeinden unter den heiden.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
basi, sisi tunapaswa kuwasaidia watu hawa, ili nasi tupate kushiriki katika kazi yao kwa ajili ya ukweli.
so sollen wir nun solche aufnehmen, auf daß wir der wahrheit gehilfen werden.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
maana mtu anayetaka kuyaokoa maisha yake mwenyewe, atayapoteza, lakini mtu atakayepoteza maisha yake kwa ajili yangu na kwa ajili ya habari njema, atayaokoa.
denn wer sein leben will behalten, der wird's verlieren; und wer sein leben verliert um meinet-und des evangeliums willen, der wird's behalten.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
yesu akajibu, "je, uko tayari kweli kufa kwa ajili yangu? kweli nakwambia, kabla jogoo hajawika utanikana mara tatu!"
jesus antwortete ihm: solltest du dein leben für mich lassen? wahrlich, wahrlich ich sage dir: der hahn wird nicht krähen, bis du mich dreimal habest verleugnet.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
wapewe mafakiri wahajiri walio tolewa majumbani mwao na mali yao kwa ajili ya kutafuta fadhila kutoka kwa mwenyezi mungu na radhi zake, na wanamsaidia mwenyezi mungu na mtume wake.
(das gehört) den armen auswanderern, die aus ihren wohnstätten und von ihrem besitz vertrieben worden sind, weil sie nach huld von allah und wohlgefallen trachten und allah und seinem gesandten helfen.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
na sasa naishi, lakini si mimi tena, bali kristo anaishi ndani yangu. maisha haya ninayoishi sasa naishi kwa imani, imani katika mwana wa mungu aliyenipenda hata akayatoa maisha yake kwa ajili yangu.
ich lebe aber; doch nun nicht ich, sondern christus lebt in mir. denn was ich jetzt lebe im fleisch, das lebe ich in dem glauben des sohnes gottes, der mich geliebt hat und sich selbst für mich dargegeben.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
walipokuwa wanafanya ibada yao kwa bwana na kufunga, roho mtakatifu alisema: "niteulieni barnaba na saulo kwa ajili ya kazi niliyowaitia."
da sie aber dem herrn dienten und fasteten, sprach der heilige geist: sondert mir aus barnabas und saulus zu dem werk, dazu ich sie berufen habe.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
na kila aliyeacha nyumba, au ndugu, au dada, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili yangu, atapokea mara mia zaidi, na kupata uzima wa milele.
und wer verläßt häuser oder brüder oder schwestern oder vater oder mutter oder weib oder kinder oder Äcker um meines namens willen, der wird's hundertfältig nehmen und das ewige leben ererben.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
lakini kusudi tusiwakwaze, nenda ziwani ukatupe ndoana; chukua samaki wa kwanza atakayenaswa, fungua kinywa chake, na ndani utakuta fedha taslimu ya zaka. ichukue ukawape kwa ajili yangu na kwa ajili yako."
auf daß aber wir sie nicht ärgern, so gehe hin an das meer und wirf die angel, und den ersten fisch, der herauffährt, den nimm; und wenn du seinen mund auftust, wirst du einen stater finden; den nimm und gib ihnen für mich und dich.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.