검색어: kutia sahihi (스와힐리어 - 독일어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

독일어

정보

스와힐리어

hakika hao walikuwa na shaka ya kutia wasiwasi.

독일어

auch sie befanden sich in beunruhigendem zweifel.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

akatazaye kheri, arukaye mipaka, mwenye kutia shaka,

독일어

das gute verweigert, Übertretungen begeht und zweifel hegt,

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tunaamini katika nguvu sahihi na taarifa sahihi ya hali ya wanablogu kutoka eneo kamili.

독일어

gv face: die zone 9-blogger in Äthiopien befreien, 16. mai 2014 Äthiopien: polizei beantragt mehr zeit für ermittlungen zu den zone 9-bloggern, 14. mai 2014

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ilitokea tu kwamba tulikuwa mahali sahihi kwa muda sahihi na mambo yakajipa nasi tupo pamoja.

독일어

wir waren einfach nur zur richtigen zeit am richtigen ort und es hat geklappt.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kupata taarifa sahihi kuhusu wanablogu na waandishi wa mitandaoni waliokamatwa ni jambo gumu kwa sababu mbalimbali.

독일어

aus verschiedenen gründen ist es schwierig, genaue informationen über verhaftete und bedrohte bloggerinnen, blogger, und online autoren zu finden.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ili kutia saini kwenye wito huu wa utetezi, tembelea tovuti ya linda uhuru wa intaneti ulimwenguni.

독일어

zeichnen sie die petition bitte auf der website protect global internet freedom mit.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na jengo lao hilo walilo lijenga litakuwa sababu ya kutia wasiwasi nyoyoni mwao mpaka nyoyo zao hizo zikatike vipande vipande.

독일어

das gebäude, das sie errichtet haben, wird nicht aufhören, zweifel in ihren herzen zu errregen, bis ihre herzen in stücke gerissen sind.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na nyama hoa amekuumbieni. katika hao mna vifaa vya kutia joto, na manufaa mengineyo, na baadhi yao mnawala.

독일어

und das vieh hat er erschaffen, ihr habt an ihm wärme und nutzen; und davon esset ihr.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

barua ilidai kwamba mipango ya kuleta mhusika kama huyo ambaye ni mwathirika wa ukimwi nchini marekani haikuwa sahihi, kwa kuzingatia umri wa watazamaji.

독일어

in dem brief wurde gegen die geplante einführung einer ähnlichen hiv-positiven figur in den vereinigten staaten protestiert. dies sei angesichts des alters des publikums unangemessen.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

barua imetiwa sahihi na electronic frontier foundation, vía libre, digital rights ngo, miongoni mwa wasomi wengine na wataalam.

독일어

der brief ist unterzeichnet von der electronic frontier foundation, vía libre, digital rights ngo und weiterer intellektueller und experten.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

"si kazi rahisi kwa vijana wa kipalestina na kiyahudi kushinda idadi kubwa ya taarifa zisizo sahihi na imani potofu ambazo zinafundishwa mmoja kuhusu mwingine.

독일어

es ist für die israelischen und palästinensischen jugendlichen nicht einfach, die riesigen mengen an falschen informationen und klischees, die ihnen vermittelt werden, zu überwinden.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

leo, pendekezo hilo limeamshwa upya kutokana na kuwepo kwa mkanda wa kutia aibu wa ngono wa mtu maarufu ambao unaendelea kuwastua wote watoto na watu wazima katika nchi yenye idadi kubwa zaidi ya waislamu duniani.

독일어

nun lebt diese idee wieder auf, seit ein promi-sextape sowohl die jungen als auch die alten in diesem land erschüttert, das die größte mehrheitlich muslimische bevölkerung der welt hat.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika kipindi cha miezi mitatu ya kushikiliwa kwa mwanablogu huyu huko maekelawi*, abel alikataa kutia saini hati ya kiapo ambayo ingewaweka hatarini yeye pamoja na wanablogu wenzake.

독일어

während der ersten drei monate seiner untersuchungshaft in maekelawi* hatte abel sich geweigert, ein vorgefertigtes geständnis zu unterschreiben, in welchem er, wie auch die anderen blogger, ihre schuld bekennen sollten.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@sayeedawarsi: ni zaidi ya ajabu; tukiio la kutia moyo kwa mwanamke mdogo kuokolewa baada ya siku 17 kupita tokea jengo la savar kuporomoka.

독일어

@sayeedawarsi: es ist ein außergewöhnliches und erhebendes bild: 17 tage nach dem gebäudeeinsturz von #savar wird eine junge frau befreit.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

unaweza kutia saini kuunga mkono tamko hilo hapa; waweza pia kuiona kupitia mashirika mengineyo, ikiwa ni pamoja na eff, free press, shirika la access na pia cheezburger.

독일어

du kannst die erklärung hier unterzeichnen. du kannst dich auch durch viele organisationen daran beteiligen, zum beispiel eff, free press, access, und sogar cheezburger .

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

desireé lozano, anayeblogu kwenye blogu ya voces visibles, anatoa mwito kwa ongezeko kubwa la mimba za utotoni nchini venezuela, ambapo asilimia 25 ya mimba ni za vijana, na kukosekana kwa sera sahihi za kudhibiti tatizo hili na matokeo yake.

독일어

die bloggerin desireé lozano, die für die seite voces visibles (onlinenachrichten zu frauenrechtlichen themen) schreibt, verweist auf die extrem hohen raten der teenagerschwangerschaften (25 prozent aller schwangeren) in venezuela und auf das fehlen geeigneter politischer maßnahmen, um dieser entwicklung und ihren folgen entgegenzuwirken.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

alama habari ya #menagainstrape imeanza kuvuma kwa mara nyingine, wakati huu nchini pakistani, habari zinadai kuwa baada ya babulal gaur, waziri wa mambo ya ndani wa india, alitoa matamshi haya kuhusu ubakaji, 'wakati mwingine ni sahihi, wakati mwingine huwa ni makosa'.

독일어

der hashtag #menagainstrape , auf deutsch "männer gegen vergewaltigung", ist wieder trend, dieses mal in pakistan. berichten nach begann der hashtag zu kursieren, nachdem der innenminister eines indischen bundesstaats, babulal gaur, über vergewaltigung gesagt hatte : "manchmal ist sie richtig, manchmal ist sie falsch."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.

인적 기여로
8,941,876,231 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인