전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi tu.
sie erwähnen das vor dir nur aus widerspruchsgeist.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
lakini mwanaadamu amezidi kuliko kila kitu kwa ubishi.
von allen wesen ist aber der mensch am streitsüchtigsten.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
hatakuwa na ubishi wala kupiga kelele, wala sauti yake haitasikika barabarani.
er wird nicht zanken noch schreien, und man wird sein geschrei nicht hören auf den gassen;
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
epuka ubishi wa kijinga na kipumbavu; wajua kwamba hayo huleta magomvi.
aber der törichten und unnützen fragen entschlage dich; denn du weißt, daß sie nur zank gebären.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
kulitokea ubishi kati ya hao mitume kuhusu nani miongoni mwao anayefikiriwa kuwa mkuu zaidi kuliko wengine.
es erhob sich auch ein zank unter ihnen, welcher unter ihnen sollte für den größten gehalten werden.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
ubishi ulitokea kati ya baadhi ya wanafunzi wa yohane na myahudi mmoja kuhusu desturi za kutawadha.
da erhob sich eine frage unter den jüngern des johannes mit den juden über die reinigung.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
watu wanapoapa, huapa kwa mmoja aliye mkuu zaidi kuliko wao, na kiapo hicho husuluhisha ubishi wote.
die menschen schwören ja bei einem größeren, denn sie sind; und der eid macht ein ende alles haders, dabei es fest bleibt unter ihnen.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
na bila ya shaka tumewaelezea watu katika hii qur'ani kila namna ya mfano. lakini mwanaadamu amezidi kuliko kila kitu kwa ubishi.
und gewiß, bereits erläuterten wir in diesem quran für die menschen von jedem gleichnis, doch der mensch ist immer der am meisten disputierende.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
basi, popote mnapokutana kufanya ibada nataka wanaume wasali, watu waliojitolea kweli na ambao wanaweza kuinua mikono yao wakisali bila hasira wala ubishi.
so will ich nun, daß die männer beten an allen orten und aufheben heilige hände ohne zorn und zweifel.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
kama mtu anataka kuleta ubishi juu ya jambo hili, basi, na ajue kwamba sisi hatuna desturi nyingine, wala makanisa ya mungu hayana desturi nyingine.
ist aber jemand unter euch, der lust zu zanken hat, der wisse, daß wir solche weise nicht haben, die gemeinden gottes auch nicht.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
basi, usiiharibu kazi ya mungu kwa sababu ya ubishi juu ya chakula. vyakula vyote ni halali, lakini haifai kula chakula ambacho kitamfanya mtu aanguke katika dhambi.
verstöre nicht um der speise willen gottes werk. es ist zwar alles rein; aber es ist nicht gut dem, der es ißt mit einem anstoß seines gewissens.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
jambo hili lilisababisha ubishi mkubwa, na baada ya paulo na barnaba kujadiliana nao, ikaamuliwa paulo na barnaba pamoja na waumini kadhaa wa lile kanisa la antiokia waende yerusalemu kuwaona wale mitume na wazee kuhusu jambo hilo.
da sich nun ein aufruhr erhob und paulus und barnabas einen nicht geringen streit mit ihnen hatten, ordneten sie, daß paulus und barnabas und etliche andere aus ihnen hinaufzögen gen jerusalem zu den aposteln und Ältesten um dieser frage willen.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
timotheo, tunza salama yote yale uliyokabidhiwa. jiepushe na majadiliano ya kidunia na ubishi wa kipumbavu juu ya kile wanachokiita watu wengine: "elimu".
o timotheus! bewahre, was dir vertraut ist, und meide die ungeistlichen, losen geschwätze und das gezänke der falsch berühmten kunst,
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
naogopa, huenda nitakapokuja kwenu nitawakuta katika hali nisiyopenda, nami itanilazimu kuwa katika hali msiyoipenda. naogopa huenda kukawa na ugomvi, wivu, uhasama, ubishi, masengenyano, kunong'ona, majivuno na fujo kati yenu.
denn ich fürchte, wenn ich komme, daß ich euch nicht finde, wie ich will, und ihr mich auch nicht findet, wie ihr wollt; daß hader, neid, zorn, zank, afterreden, ohrenblasen, aufblähen, aufruhr dasei;
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질: