전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
lakini yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake.
hic autem eo quod maneat in aeternum sempiternum habet sacerdotiu
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
wosia hauwezi kutekelezwa mpaka kumetokea kifo, kwani wosia hauna maana ikiwa mwenye kuufanya bado anaishi.
testamentum enim in mortuis confirmatum est alioquin nondum valet dum vivit qui testatus es
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
tunajua kwamba tunaishi katika umoja na mungu, naye mungu anaishi katika umoja nasi, kwani yeye ametupa roho wake.
in hoc intellegimus quoniam in eo manemus et ipse in nobis quoniam de spiritu suo dedit nobi
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
hivyo, yeye anaweza daima kuwaokoa kabisa wote wanaomwendea mungu kwa njia yake, maana yeye anaishi milele kuwaombea kwa mungu.
unde et salvare in perpetuo potest accedentes per semet ipsum ad deum semper vivens ad interpellandum pro ei
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
kila mara viumbe vinne vilipoimba nyimbo za kumtukuza, kumheshimu na kumshukuru huyo aliyeketi juu ya kiti cha enzi, ambaye anaishi milele na milele,
et cum darent illa animalia gloriam et honorem et benedictionem sedenti super thronum viventi in saecula saeculoru
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
huyo mnyama ambaye alikuwa anaishi hapo awali lakini sasa haishi tena ni mfalme wa nane, naye pia ni miongoni mwa hao saba, na anakwenda zake kuharibiwa.
et bestia quae erat et non est et ipsa octava est et de septem est et in interitum vadi
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
maana sote ni lazima tusimame mbele ya kiti cha hukumu cha kristo, ili kila mmoja apokee anayostahili kwa matendo aliyoyafanya wakati alipokuwa anaishi duniani, mema au mabaya.
omnes enim nos manifestari oportet ante tribunal christi ut referat unusquisque propria corporis prout gessit sive bonum sive malu
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
maana hata kama alisulubiwa kwa sababu ya udhaifu, lakini sasa anaishi kwa uwezo wa mungu. sisi pia tu dhaifu kwa kuungana naye lakini tutaishi naye kwa uwezo wa mungu kwa ajili yenu.
nam et si crucifixus est ex infirmitate sed vivit ex virtute dei nam et nos infirmi sumus in illo sed vivemus cum eo ex virtute dei in vobi
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
alipokuwa anashuka pwani, mtu mmoja aliyekuwa amepagawa na pepo alimjia kutoka mjini. kwa muda mrefu mtu huyo, hakuwa anavaa nguo, wala hakuwa anaishi nyumbani bali makaburini.
et cum egressus esset ad terram occurrit illi vir quidam qui habebat daemonium iam temporibus multis et vestimento non induebatur neque in domo manebat sed in monumenti
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
na sasa naishi, lakini si mimi tena, bali kristo anaishi ndani yangu. maisha haya ninayoishi sasa naishi kwa imani, imani katika mwana wa mungu aliyenipenda hata akayatoa maisha yake kwa ajili yangu.
vivo autem iam non ego vivit vero in me christus quod autem nunc vivo in carne in fide vivo filii dei qui dilexit me et tradidit se ipsum pro m
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
basi, sisi tunajua na tunaamini upendo alio nao mungu kwetu sisi. mungu ni upendo, na kila mtu aishiye katika upendo, anaishi katika muungano na mungu, na mungu anaishi katika muungano naye.
et nos cognovimus et credidimus caritati quam habet deus in nobis deus caritas est et qui manet in caritate in deo manet et deus in e
마지막 업데이트: 2023-09-05
사용 빈도: 2
품질: