전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
maana mungu alikuwa ameazimia mpango ulio bora zaidi kwa ajili yetu; yaani wao wangeufikia ukamilifu wakiwa pamoja nasi.
deo pro nobis melius aliquid providente ut ne sine nobis consummarentu
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
neema na huruma na amani zitokazo kwa mungu baba na kwa yesu kristo, mwana wa baba, zitakuwa pamoja nasi katika ukweli na upendo.
sit nobiscum gratia misericordia pax a deo patre et a christo iesu filio patris in veritate et caritat
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
kesho yake paulo alikwenda pamoja nasi kumwamkia yakobo, na wazee wote wa kanisa walikuwako pia.
sequenti autem die introibat paulus nobiscum ad iacobum omnesque collecti sunt seniore
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
"bikira atachukua mimba, atamzaa mtoto wa kiume, naye ataitwa emanueli" (maana yake, "mungu yu pamoja nasi").
ecce virgo in utero habebit et pariet filium et vocabunt nomen eius emmanuhel quod est interpretatum nobiscum deu
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
baadhi yao walikubali wakajiunga na paulo na sila. kadhalika, idadi kubwa ya wagiriki waliomcha mungu pamoja na wanawake wengi wa tabaka la juu, walijiunga nao.
et quidam ex eis crediderunt et adiuncti sunt paulo et silae et de colentibus gentilibusque multitudo magna et mulieres nobiles non pauca
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
yeye aliingia katika nyumba ya mungu pamoja na wenzake, wakala ile mikate iliyowekwa mbele ya mungu. yeye wala hao wenzake hawakuruhusiwa kula mikate hiyo isipokuwa tu makuhani peke yao.
quomodo intravit in domum dei et panes propositionis comedit quos non licebat ei edere neque his qui cum eo erant nisi solis sacerdotibu
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
tunawaandikia ninyi mlio kanisa la mungu huko korintho. ninyi mmefanywa watakatifu katika kuungana na kristo yesu, mkaitwa muwe watu wa mungu, pamoja na watu wote popote wanaomwomba bwana wetu yesu kristo aliye bwana wao na wetu pia.
ecclesiae dei quae est corinthi sanctificatis in christo iesu vocatis sanctis cum omnibus qui invocant nomen domini nostri iesu christi in omni loco ipsorum et nostr
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
tulipanda meli ya adiramito iliyokuwa inasafiri na kupitia bandari kadhaa za mkoa wa asia, tukaanza safari. aristarko, mwenyeji wa makedonia kutoka thesalonika, alikuwa pamoja nasi.
ascendentes autem navem hadrumetinam incipientem navigare circa asiae loca sustulimus perseverante nobiscum aristarcho macedone thessalonicens
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
wengine kati ya wale wafuasi wa kaisarea walienda pamoja nasi, wakatupeleka nyumbani kwa mnasoni ambaye tulikuwa tunakwenda kukaa naye kwa muda. mnasoni alikuwa mwenyeji wa kupro na alikuwa amekuwa muumini kwa siku nyingi.
venerunt autem et ex discipulis a caesarea nobiscum adducentes apud quem hospitaremur mnasonem quendam cyprium antiquum discipulu
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
lakini wao wakamsihi wakisema, "kaa pamoja nasi, maana kunakuchwa, na usiku unakaribia." basi, akaingia kijijini, akakaa pamoja nao.
et coegerunt illum dicentes mane nobiscum quoniam advesperascit et inclinata est iam dies et intravit cum illi
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
kisha akasema, "mfalme agripa na wote mlioko hapa pamoja nasi! hapa mbele yenu yuko mtu ambaye jumuiya yote ya wayahudi hapa na kule yerusalemu walinilalamikia wakipiga kelele kwamba hastahili kuishi tena.
et dixit festus agrippa rex et omnes qui simul adestis nobiscum viri videtis hunc de quo omnis multitudo iudaeorum interpellavit me hierosolymis petens et hic clamantes non oportere eum vivere ampliu
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
mtu anaweza kusema: "barua za paulo ni kali na zenye maneno mazito, lakini yeye mwenyewe anapokuwa pamoja nasi ni mtu dhaifu, na hata anapoongea maneno yake ni kama si kitu."
quoniam quidem epistulae inquiunt graves sunt et fortes praesentia autem corporis infirma et sermo contemptibili
마지막 업데이트: 2012-05-04
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.