검색어: hospitalini (스와힐리어 - 스페인어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

Spanish

정보

Swahili

hospitalini

Spanish

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

스페인어

정보

스와힐리어

lakini mimi sikwenda hospitalini, kwa hiyo sijui nini kinaendelea kule.

스페인어

pero no fui a los hospitales, así que no se que este pasando allí.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

india: saa nzuri kapata huduma za afya hospitalini kwa punguzo la bei

스페인어

india: hora feliz en hospitales para atraer pacientes

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hadi sasa, maelfu ya watu wameshaokolewa na kupelekwa kwenye makazi ya muda au kulazwa hospitalini.

스페인어

miles de personas han sido rescatadas y llevadas a refugios de emergencia u hospitalizadas.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wengi wao wakiwa ni wakazi wa kijiji masikini cha chapra, walilazwa hospitalini kufuatia hali zao kuwa mbaya sana.

스페인어

muchos más fueron hospitalizados en estado grave en la aldea rural pobre de chapra.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na katika tukio jingine huko dhule katika wilaya ya maharashtra, watoto 31 walilazwa hospitalini mara baada ya kupata chakula cha mchana.

스페인어

y en otro incidente aislado en dhule en el distrito de maharashtra, 31 niños fueron hospitalizados después de haber tomado el almuerzo del colegio.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nakumbuka wakati mmoja nilimuuliza alivyokuwa anajisikia asubuhi wakati tukiwasilisha kazi na yeye alisema kwamba alikuwa hajalala kwa sababu alikuwa amempeleka mke wake na mtoto wake erica hospitalini kwa sababu ya homa ya kuota meno.

스페인어

me acuerdo de una vez que le pregunté cómo estaba una mañana en la que teníamos que entregar trabajos y me dijo que no había dormido porque había tenido que llevar a su mujer y a su bebé, erica, al hospital porque a la niña le estaban saliendo los dientes.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa mujibu wa eleven media, watu 6 walifariki na wengine 12 walikimbizwa hospitalini kutoka na majeraha waliyoyapata wakati wa mashambulizi makali yaliyotokea kati ya mei 30 na juni 8 dhidi ya raia wa mynamar wanaoishi nchini malasia.

스페인어

según eleven media , seis personas murieron y 12 fueron hospitalizadas con heridas durante los violentos ataques contra ciudadanos de myanmar en malasia entre el 30 de mayo y el 8 de junio.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kisha zeinobia aliendelea kueleza kwamba mubarak anakabiliwa na mashtaka ya kuua waandamanaji na kuiba fedha za umma; hata hivyo, hadi wakati huu mubarak bado yupo hospitalini kwa sababu ya matatizo ya kiafya.

스페인어

zeinobia continuó explicando que mubarak enfrentará cargos por asesinar manifestantes y robar dinero público; sin embargo, hasta ahora mubarak está hospitalizado por razones de salud.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

rais huyo wa zamani wa afrika kusini na mwanaharakati aliyepambana na ubaguzi wa rangi, na baada ya yote, alikuwa na umri wa miaka 95 na afya ikazorota, baada ya kulazwa hospitalini mara kadhaa mwaka huu akisumbumbuliwa na maradhi ya kupumua.

스페인어

el expresidente sudafricano y activista anti-apartheid tenía, al fin y al cabo, 95 años y un estado de salud pésimo, habiendo sido hospitalizado varias veces este año debido a recurrentes infecciones respiratorias.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

rais wa malawi ametupilia mbali mashinikizo ya kumtaka ajiuzulu mara baada ya mamia ya maelfu ya wafanyakazi wa umma wanaoshinikiza mishahara yao iongezwe, kuingia katika mgomo wa majuma mawili, kufunga uwanja wa ndege wa kimataifa nchini humo pamoja na kuzorotesha huduma za hospitalini na mashuleni.

스페인어

la presidente de malawi rechaza los perdidos de renuncia luego que cientos de miles de funcionarios que exigen un aumento salarial iniciaran una huelga de dos semanas, obstruyendo el aeropuerto internacional del país y paralizando los hospitales y escuelas.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

bw mousavi, ambaye ni kiongozi wa upinzani, hivi karibuni alilazwa hospitalini baada ya kupata matatizo ya moyo kufuatia miezi 15 ya kifungo cha nyumbani ...matamanio ya kidemokrasi na madai ya haki ya watu wa iran yanastahili kuungwa mkono na jumuiya ya kimataifa, ikiwemo umoja wa mataifa na katibu wake mkuu.

스페인어

el señor mousavi, líder de la oposición, ha sido hospitalizado recientemente debido a una complicación cardíaca, después de haber cumplido quince meses de arresto domiciliario... las aspiraciones democráticas y las demandas justas del pueblo iraní merecen el apoyo de la comunidad internacional, de las naciones unidas y del secretario general.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,794,099,207 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인