검색어: kipande (스와힐리어 - 스페인어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

Spanish

정보

Swahili

kipande

Spanish

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

스페인어

정보

스와힐리어

wakampa kipande cha samaki wa kuokwa.

스페인어

entonces le dieron un pedazo de pescado asado

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ningesema kwamba ni kipande cha utenzi pale pale.

스페인어

yo diría que allí mismo encontramos poesía.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kila kipande cha habari kinaweza kuunganishwa katika maneno mengi.

스페인어

cada noticia puede ser etiquetada con varias palabras. en la columna a la derecha, aparecen los tags más populares.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na mpalestina ali abunimah anaweka kipande kingine katika mchezo:

스페인어

y el palestino ali abunimah coloca otra pieza en el rompecabezas:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tazama kipande hiki cha video hapa kutoka kwenye kipindi hicho cha habari hapa:

스페인어

vea un extracto del programa aquí:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

basi, yuda alipokwisha twaa kile kipande cha mkate, akatoka nje mara. na ilikuwa usiku.

스페인어

cuando tomó el bocado, él salió en seguida; y ya era de noche

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mwanablogu i luv sa anacho kipande cha ushauri kwa wale wanaoichukia vuvuzela, “vumilieni”:

스페인어

i luv sa tiene un consejo para los que odian la vuvuzela, “aguántense”:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika wiki zinazofuata, tunategemea kumzungumzia kila mwanablogu kwa kutumia kipande mahususi cha makala, sanaa, ushairi au video.

스페인어

en las semanas siguientes, esperamos destacar a cada uno con una obra especial de texto, arte, poesía, o vídeo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kila kipindi kinatafitiwa na kuandikwa na watangazaji wanne, wanaodhibiti utaratibu mzima, ikijumuisha utafiti, kuandika na kuigiza kila kipande.

스페인어

cada programa es creado y escrito por cuatro jóvenes conductores, quienes controlan toda la programación, incluyendo investigación, libreto y ejecución de cada episodio.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

charles crawford, kwenye blogoir, alitoa maoni kwenye kipande kilichoandikwa na craig murray akiainisha sababu na athari za kupatikana kwa mafuta nchini ghana.

스페인어

charles crawford, en blogoir , comentó sobre un artículo escrito por craig murray analizando la causa y efecto del hallazgo de petroleo de ghana.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kipande cha kwanza cha video cha ajali ya ndege sasa kinapatikana. tunamshukuru mwanajeshi wa burkina faso aliyekuwa eneo la tukio la ajali karibu na gossi, mashariki mwa mali.

스페인어

las primeras imágenes del accidente de avión están ahora disponibles gracias a un soldado burkinés presente en el sitio del accidente cerca de gossi en el norte de mali.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kipande cha video kilichogharimu takribani kiasi cha dinari 250 za tunisia, karibu kiasi cha dola 250 za marekani, inawachora watu wa daraja la chini kabisa nchini tunisia na namna wanavyoendesha maisha yao.

스페인어

el video clip cuya producción solo costó 250 dinares (cerca de 150 dólares de ee.uu.) representa a los residentes de un barrio desfavorecido a medida que avanzan a través de su vida cotidiana.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

badala yake, picha hizo zilikuwa mithili ya mafuta yaliyoongezwa kwenye moto unaowaka, kiasi kwamba baadhi hata wanathubutu kuhoji uhalisi wa mkutano huo kwa sababu hapakuwa na kipande cha rekodi ya sauti na video kuthibitisha madai hayo.

스페인어

en cambio, las imágenes han avivado las críticas, y algunos están dudando de la autenticidad de la reunión pues no hay audio ni video que la respalde.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kundi la "wanawake walio mashambani" limetenga kipande cha ardhi kwa ajili ya wanawake wafanyakazi wasio na ajira, wakiwapa fursa ya kupata chakula kidogo cha kuweka mezani.

스페인어

el grupo "mujeres en granjas" ha separado una porción de su tierra para trabajadoras desempleadas, dándoles la oportunidad de poner comida en la mesa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kama vile aliyetolewa kwenye kipande cha filamu ya steven speilberg, nilimuona mvulana huyu akiendesha kitu mfano wa baiskeli alichokiunda yeye mwenyewe kwa kutumia vapande vya miti pamoja na matairi mawili ya chuma, akiwa anapita kwenye vifusi vya majengo ambavyo awali yalikuwa makazi ya jirani zake.

스페인어

como si fuera sacado de la escena de una película de steven speilberg, vi a este chico impulsar su juguete hecho a mano diseñado de un simple palo y dos ruedas de metal a través de los escombros y la masacre que una vez fue la casa de sus vecinos.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ikiwa nyinyi mna shaka ya kufufuliwa basi kwa hakika sisi tulikuumbeni kutokana na udongo, kisha kutokana na manii, kisha kutokana na kipande cha damu ilio gandana, kisha kutokana na kipande cha nyama chenye umbo na kisicho kuwa na umbo, ili tukubainishieni.

스페인어

si dudáis de la resurrección, nosotros os hemos creado de tierra; luego, de una gota; luego, de un coágulo de sangre; luego, de un embrión formado o informe.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hala anamtafuta mtu wa kumwambia, "karibu kwenye nchi yako", na anamtafuta mtu wa kumsaidia kupata kukumbatiwa kwa upendo mkubwa na bibi yake, ambaye hupokea kila picha au kipande cha picha ya video inayomwonyesha binti huyu mdogo kwa shauku kubwa kupindukia.

스페인어

hala está buscando alguien que diga "bienvenida a tu país", y está buscando a alguien que la ponga al alcance del cariñoso abrazo de su abuela, que adora cualquier foto de ella o cualquier video en el que aparezca.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,781,377,300 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인