검색어: lililosababisha (스와힐리어 - 스페인어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

Spanish

정보

Swahili

lililosababisha

Spanish

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

스페인어

정보

스와힐리어

usiri unaozunguka safari hiyo uligeuka kuwa kosa kubwa lililosababisha maneno yasiyothibitishwa ambayo kwa haraka yalisambaa kwenye vijiwe vya mazungumzo.

스페인어

el hermetismo en torno al viaje llevó a una metedura de pata de protocolo que los ciudadanos notaron rápidamente.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ghasia za minyah zilisababisha kufa kwa afisa mmoja wa polisi - kosa la jinai ambalo ndilo lililosababisha kushitakiwa kwa washikiwa wote.

스페인어

en los disturbios de minia murió un oficial de la policía ─ un crimen por el que están imputados los 529 acusados.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

twiti hii inatukumbusha tukio lililosababisha mapinduzi ya kiarabu, mwezi desemba 2010, wakati mchuuzi wa matunda wa kitunisia mohammed bouazizi kujilipua kwa moto.

스페인어

este tuit nos trae recuerdos de la chispa que encendió las revoluciones árabes, en diciembre de 2010, cuando el vendedor de frutas tunecino mohamed bouazizi se prendió fuego.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

habari zilizochukua nafasi ya mbele kwenye vyombo vya habari vya kimataifa na vile vya ndani ya nchi kuhusiana na shambulio la kigaidi lililofanywa na wanamgambo wa al-shabaab kwenye chuo kikuu cha garissa, lililosababisha vifo vya watu 147, zimepata ukosoaji mkali.

스페인어

la cobertura de los medios internacionales y locales del ataque en la universidad de garissa, donde murieron al menos 147 personas a manos de las milicias de al-shabaab, ha sido fuertemente criticada.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tangazo hilo lililosababisha utata linamwonyesha robert mugabe akila peke yake wakati wa sikukuu ya noel katika jumba kubwa wakati huo huo akikumbukia “nyakati za raha” alizowahi kuwa nazo na madikteta wa zamani, kama vile kucheza mchezo wa kurushiana maji na muammar gaddafi kwa kutumia mpira, akitengeneza midoli ya malaika kwenye mchanga akiwa na saddam hussein, akiimba muziki wa karaoke akiwa na mao sedong, akimsukuma p.w botha kwenye bembea, na akiendesha pipa na idi amin.

스페인어

el polémico anuncio muestra a robert mugabe cenando solo en una gran mansión la noche de navidad mientras recuerda los "tiempos felices" al lado de antiguos dictadores. se le puede ver jugando a las pistolas de agua con muammar gaddafi, haciendo muñecos de nieve en la arena con saddam hussein, cantando en el karaoke con mao zedong, empujando a p.w. botha en el columpio y conduciendo un tanque con idi amin.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,740,817,449 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인