전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
ninyi ni wenye busara, ndiyo maana hata mnawavumilia wapumbavu!
فانكم بسرور تحتملون الاغبياء اذ انتم عقلاء.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
naongea nanyi, watu wenye busara; jiamulieni wenyewe hayo nisemayo.
اقول كما للحكماء. احكموا انتم في ما اقول.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
lakini wale wenye busara walichukua mafuta katika chupa pamoja na taa zao.
واما الحكيمات فاخذن زيتا في آنيتهن مع مصابيحهن.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara: tupeni mafuta yenu kidogo maana taa zetu zinazimika.
فقالت الجاهلات للحكيمات اعطيننا من زيتكن فان مصابيحنا تنطفئ.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
lakini wale wenye busara wakawaambia, hayatatutosha sisi na ninyi! afadhali mwende dukani mkajinunulie wenyewe!
فاجابت الحكيمات قائلات لعله لا يكفي لنا ولكنّ بل اذهبن الى الباعة وابتعن لكنّ.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
"sasa, mimi nawatuma ninyi kama kondoo kati ya mbwa mwitu. muwe na busara kama nyoka, na wapole kama njiwa.
ها انا ارسلكم كغنم في وسط ذئاب. فكونوا حكماء كالحيّات وبسطاء كالحمام.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
jarida maarufu la kila siku la manila standard today, lilihoji busara ya sera hii, likisema inamwelekeo unaokaribiana na sera ya potemkin-village.
وقد شككت الصحيفة اليومية الرئيسية، مانيلا ستاندارد تودي، بحكمة هذه السياسة قائلةً بأنها توازي السياسة التي اُتبعت في قرية بوتيمكن.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
hivi ni busara na inashauriwa kweli kujiingiza kwenye vita vya ndani ya nchi iliyo kwenye umbali wa maili elfu mbili? hebu saili mwenendo wa ghasia hizi katika muongo uliopita.
هل من الحكمة الغوص في وحل حرب أهلية طائفية بعيدة عنا قرابة ألفي كيلومتر؟ فقط أنظر لمسار العنف الطائفي على مدى العقد الماضي.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
yesu akaendelea kusema, "ni nani basi mtumishi mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake atamweka juu ya watu wake, awape chakula kwa wakati wake?
فمن هو العبد الامين الحكيم الذي اقامه سيده على خدمه ليعطيهم الطعام في حينه.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
bwana akajibu, "ni nani basi, mtumishi aliye mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake atamweka juu ya watumishi wake ili awape chakula wakati ufaao?
فقال الرب فمن هو الوكيل الامين الحكيم الذي يقيمه سيده على خدمه ليعطيهم العلوفة في حينها.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
sisi ni wapumbavu kwa ajili ya kristo, lakini ninyi ni wenye busara katika kuungana na kristo! sisi ni dhaifu, ninyi ni wenye nguvu. ninyi mnaheshimika, sisi tunadharauliwa.
نحن جهال من اجل المسيح واما انتم فحكماء في المسيح. نحن ضعفاء واما انتم فاقوياء. انتم مكرمون واما نحن فبلا كرامة.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
"basi, yule bwana akamsifu huyo karani asiye mwaminifu, kwa kuwa alitumia busara. kwa maana watu wa dunia hii wana busara zaidi na mambo yao kuliko watu wa mwanga."
فمدح السيد وكيل الظلم اذ بحكمة فعل. لان ابناء هذا الدهر احكم من ابناء النور في جيلهم.
마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다