검색어: kichwa (스와힐리어 - 아랍어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

아랍어

정보

스와힐리어

kichwa

아랍어

رأس

마지막 업데이트: 2014-10-13
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

basi, herode akatuma mtu gerezani amkate kichwa yohane.

아랍어

فارسل وقطع راس يوحنا في السجن.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

wewe lakini unapofunga, paka kichwa chako mafuta, nawa uso wako,

아랍어

واما انت فمتى صمت فادهن راسك واغسل وجهك.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

akatuma tena mtumishi mwingine; huyu wakamuumiza kichwa na kumtendea vibaya.

아랍어

ثم ارسل اليهم ايضا عبدا آخر. فرجموه وشجوه وارسلوه مهانا.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

waaljeria na wamisri walikwenda kichwa kwa kichwa kwenye twita wakati pambano likiendelea.

아랍어

أصبح الأمر رسمياً.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

kichwa chake kikaletwa katika sinia, wakampa yule msichana, naye akampelekea mama yake.

아랍어

فأحضر رأسه على طبق ودفع الى الصبية. فجاءت به الى امها.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

hivi ndivyo walivyomsafirisha génesis carmona aliyepigwa risasi ya kichwa wakati akiandamana jijini valencia.

아랍어

هكذا تم نقل الطالبة جنسيس كارمونا التي تلقت رصاصة في الرأس وهي تتظاهر بفلنسيا pic.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.

아랍어

ولا تحلف براسك لانك لا تقدر ان تجعل شعرة واحدة بيضاء او سوداء.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

basi, kila mwanamume anayesali au anayetangaza ujumbe wa mungu huku amefunika kichwa chake, huyo anamdharau kristo.

아랍어

كل رجل يصلّي او يتنبأ وله على راسه شيء يشين راسه.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

yesu alipokwisha pokea hiyo siki, akasema, "yametimia!" kisha akainama kichwa, akatoa roho.

아랍어

فلما اخذ يسوع الخل قال قد اكمل. ونكس راسه واسلم الروح

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kisha wakampeleka yesu mpaka mahali palipoitwa golgotha, maana yake, "mahali pa fuvu la kichwa."

아랍어

وجاءوا به الى موضع جلجثة الذي تفسيره موضع جمجمة.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

lakini napenda pia mjue kwamba kristo ni kichwa cha kila mwanamume, na mwanamume ni kichwa cha mkewe, na mungu ni kichwa cha kristo.

아랍어

ولكن اريد ان تعلموا ان راس كل رجل هو المسيح. واما راس المرأة فهو الرجل. وراس المسيح هو الله.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

kichwa kimojawapo cha huyo mnyama kilionekana kama kilikwisha jeruhiwa vibaya sana, lakini jeraha hilo lilikuwa limepona. dunia nzima ilishangazwa na huyo mnyama na kumfuata.

아랍어

ورأيت واحدا من رؤوسه كانه مذبوح للموت وجرحه المميت قد شفي وتعجبت كل الارض وراء الوحش

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

na kama vile wanawake wote wa misri walikuwa wakiungoja muujiza huo wa bikra ya kutengeneza, wabunge wahafidhina wanataka bidhaa hiyo ipigwe marufuku na mwagizaji yoyete afukuzwe ama kukatwa kichwa.

아랍어

وانتفض أعضاء مجلس الشعب المحافظون لمنع المنتج والمطالبة بنفي وإعدام أي مستورد، وكأن النساء المصريات ينتظرن المنتج المعجزة الذي سيسهل لهن الجنس خارج نطاق الزواج.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

vijana wa kituruki wana weledi kuhusiana na matumizi ya zana za kupata huduma hiyo ziitwazo tor na vpn, na watumiaji wa twita nchini uturuki walijipanga haraka sana kiasi ambacho huenda kilimchanganya kichwa ndugu erdogan.

아랍어

الشباب التركي متطور في استخدام تور والشبكات الخاصة الافتراضية في حين تم إعادة تكوين فضاء توتير التركي بسرعة كبيرة. ربما جعلت أردوغان يشعر بالدوار.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

kisha ishara kubwa ikaonekana mbinguni. palikuwa hapo mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!

아랍어

وظهرت آية عظيمة في السماء امرأة متسربلة بالشمس والقمر تحت رجليها وعلى راسها اكليل من اثني عشر كوكبا

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

walipofika mahali paitwapo, "fuvu la kichwa," ndipo wakamsulubisha yesu pamoja na wale wahalifu wawili, mmoja upande wake wa kulia na mwingine upande wake wa kushoto.

아랍어

ولما مضوا به الى الموضع الذي يدعى جمجمة صلبوه هناك مع المذنبين واحدا عن يمينه والآخر عن يساره.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

"babu" anavuta pumzi nzito ili kuianza siku yake na kuanguka chini kando ya jarida lenye kichwa cha habari: “uchafuzi uliokithiri wa hewa ya tehran"

아랍어

. " ويأخذ "الجد" نفساً عميقاً ليبدأ يومه فيسقط بجانب جريدة تحمل العنوان: "تلوث الهواء المميت بطهران".

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,794,103,566 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인