검색어: mtawala (스와힐리어 - 아랍어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

Arabic

정보

Swahili

mtawala

Arabic

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

아랍어

정보

스와힐리어

wakati huo, mtawala herode alisikia sifa za yesu.

아랍어

في ذلك الوقت سمع هيرودس رئيس الربع خبر يسوع.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sasa ndio wakati wa ulimwengu huu kuhukumiwa; sasa mtawala wa ulimwengu huu atapinduliwa.

아랍어

الآن دينونة هذا العالم. الآن يطرح رئيس هذا العالم خارجا.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sitasema nanyi tena mambo mengi, maana mtawala wa ulimwengu huu anakuja. kwangu mimi hawezi kitu;

아랍어

لا اتكلم ايضا معكم كثيرا لان رئيس هذا العالم يأتي وليس له فيّ شيء.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

basi, jiwekeni chini ya mamlaka yote ya kibinadamu, kwa ajili ya bwana: utii kwa mfalme aliye mtawala mkuu,

아랍어

فاخضعوا لكل ترتيب بشري من اجل الرب. ان كان للملك فكمن هو فوق الكل

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na mungu mwenye heri na aliye mtawala pekee, mfalme wa wafalme, na bwana wa mabwana.

아랍어

الذي سيبيّنه في اوقاته المبارك العزيز الوحيد ملك الملوك ورب الارباب

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mwaka 1985, mbunge wa bunge la marekani aitwaye john mccain alizuru nchini chile na kukutana na mtawala wa kiimla augusto pinochet, akiwa na viongozi wengine wa serikali.

아랍어

في عام 1985 قام عضو في الكونجرس الأمريكي اسمه جون ماكين بالسفر إلى تشيلي والتقى بالدكتاتور أوغستو بينوشيه ومسؤولين حكوميين آخرين.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati watu wa kuwait walipoanzisha maandamano makubwa ambayo hayakuwahi kutokea ya kuonesha waziwazi kutokukubaliana na mabadiliko ya sheria ya uchaguzi yaliyopitishwa chini ya mtawala wa kurithi kufuatia kuvunjwa kwa bunge, watu wa misri wametumia muda wao mwingi katika twita wakitoa ushauri kwa watu wa kuwait kuhusiana na yapi ya kufanya na yapi ya kutokufanya.

아랍어

مع بدء الكويتيين لأكبر احتجاجات غير مسبوقة في تاريخ الكويت استنكاراً للتغيرات في قانون الانتخابات حيث أعلن أمير الكويت إصدار مرسوم أميري بتعديل نظام الدوائر الانتخابية التي ستجري طبقا لها الانتخابات المقبلة بينما البرلمان منحل، شغل المصريون أنفسهم على تويتر بتوجيه النصيحة للكويتيين حول ما يجب وما لا يجب فعله.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na kutoka kwa yesu kristo, shahidi mwaminifu, wa kwanza kufufuliwa kutoka wafu, na ambaye ni mtawala wa wafalme wa dunia. yeye anatupenda, na kwa damu yake ametufungua kutoka vifungo vya dhambi zetu,

아랍어

ومن يسوع المسيح الشاهد الامين البكر من الاموات ورئيس ملوك الارض. الذي احبنا وقد غسلنا من خطايانا بدمه

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

paulo akajibu, "ndugu zangu, sikujua kama yeye ni kuhani mkuu. maana maandiko yasema hivi: usiseme vibaya juu ya mtawala wa watu wako."

아랍어

‎فقال بولس لم اكن اعرف ايها الاخوة انه رئيس كهنة لانه مكتوب رئيس شعبك لا تقل فيه سوءا

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

nimekuwa nikifundisha kwa miaka 10 katika mkoa wa trarza na sijawahi katika kipindi chote hicho kupata chini ya alama 17 katika tathmini ninayofanyiwa. nimefanya kazi na waratibu mbalimbali na mshahara wangu haujawahi kusimamishwa isipokuwa wakati huu kwa sababu ya kushiriki mgomo. sina rekodi ya kukosa au kuzembea majukumu yangu na kila kitu kiko sawia, namshukuru mungu, mpaka mratibu mohamed ould el talib alikuja na kutuma ripoti kwa mratibu wa rousou school ambaye ni mkubwa wake wa kazi, akimwomba anipe alama 6 kati ya 20 na kunituhumu kupiga umbeya na majungu, tabia ambayo amekuwa akijidai nayo tangu ameteuliwa kwa namna inayotia mashaka kuwa mtawala wa elimu.

아랍어

منذ عشر سنوات وأنا أزاول مهنة التدريس في ولاية الترارزة، ولم أحصل طيلة تلك السنوات على تقويم سنوي أقل من 17 نقطة، وعملت مع مديرين مختلفين، ولم يعلق راتبي طيلة هذه الفترة إلا بسبب واحد وهو المشاركة في الإضراب، وليس لي سجل في الغياب ولا التهاون في أداء مهنتي ولله كل الحمد على التوفيق.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,794,506,209 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인