검색어: wenyeji (스와힐리어 - 아랍어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

Arabic

정보

Swahili

wenyeji

Arabic

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

아랍어

정보

스와힐리어

mnapoingia nyumbani wasalimuni wenyeji wake.

아랍어

وحين تدخلون البيت سلموا عليه.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini wenyeji wa hapo hawakutaka kumpokea kwa sababu alikuwa anaelekea yerusalemu.

아랍어

فلم يقبلوه لان وجهه كان متجها نحو اورشليم.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

naye filipo aliingia katika mji wa samaria na kumhubiri kristo kwa wenyeji wa hapo.

아랍어

‎فانحدر فيلبس الى مدينة من السامرة وكان يكرز لهم بالمسيح‎.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wenyeji wa mkoa wanatumia sumu na silaha nyingine dhidi ya simba ambao huwashambulia mbuzi wao.

아랍어

يستخدم أهالي المنطقة السم وأسلحة أخرى ضد الأسود التي تهاجم الماعز الخاصة بهم.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa nini tubaki masikini katikati ya utajiri huu wa madini yanayochimbwa kwa gharama ya afya za wenyeji?

아랍어

لماذا يجب أن نظل فقراء مع وجود منتج مطلوب موجود بوفرة ويتم استخراجه على حساب صحة المحليين

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na pia, mkutano wetu usingeweza kufikia mafanikio haya bila ya ushirikiano wa kipekee tulioupata kutoka kwa wenyeji wa tulipofanyia mkutano.

아랍어

رعاتنا الدوليون: مؤسسة فورد، مؤسسة ماك أرثر، جوجل، المجتمع المفتوح، مؤسسة نايت، ياهو، أوتوماتتيك.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wanasiasa wa kilebanoni wanatuhumiwa na wanaharakati kwa kutumia migogoro kati ya wakimbizi wa syria na wenyeji wa baadhi ya maeneo ya lebanoni kwa makusudi ya kisiasa.

아랍어

في حين يتهم الناشطون استخدام السياسيين اللبنانيين التوتر بين السوريين اللاجئين والسكان اللبنانيين في بعض المناطق اللبنانية لأغراض ذات دوافع سياسية.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wenyeji wa eneo hilo ambao wengi wao ni wajaluo wanawekuongeza msemo huu "lakini miye sisemi" kwa majivuno kwa kuwa wanatambua hili.

아랍어

كما يضيف السكان المحليين لمنطقة لو تريب مصطلح "هل سبق وأخبرتك" في حالة فخر بتلك الحقيقة.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kama wenyeji wa nyumba hiyo wakiipokea salamu hiyo, basi, amani yenu itakaa pamoja nao. lakini ikiwa hawaipokei, basi amani yenu itawarudia ninyi.

아랍어

فان كان البيت مستحقا فليات سلامكم عليه. ولكن ان لم يكن مستحقا فليرجع سلامكم اليكم.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mji wote ukajaa ghasia. wakawavamia gayo na aristarko, wenyeji wa makedonia, ambao walikuwa wasafiri wenzake paulo, wakakimbia nao mpaka kwenye ukumbi wa michezo.

아랍어

‎فامتلأت المدينة كلها اضطرابا واندفعوا بنفس واحدة الى المشهد خاطفين معهم غايوس وارسترخس المكدونيين رفيقي بولس في السفر

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

uhabarishwaji wa aina yake kuanzia africa, caucasus, macedonia, the mtandao wa lugha ya kirusi, , marekani ya kusini na haki za wenyeji ni baadhi tu ya dondoo za habari hizi.

아랍어

لكن تغطية الأصوات العالمية لأفريقيا، القوقاز، مقدونيا، الإنترنت باللغة الروسية، أمريكا اللاتينية وحقوق السكان الأصليين كانت من أبرز ما يميز عام 2011.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa kupitia kampeni hii ya mtandaoni, tunahitaji kuwatambua na kuwahamasisha watumiaji wa mtandao wa intaneti wanaotumia lugha zao za asili kwenye mtandao wa twita hususani kwenye lugha za wenyeji, zilizo kwenye hatari ya kutoweka na zinazozungumzwa na watu wachache, zote zikiwa hazijawakilishwa ipasavyo mtandaoni.

아랍어

وفي هذه الحملة الإلكترونية نريد إلقاء الضوء على مستخدمي الإنترنت الذين يستخدمون لغتهم الأم على تويتر وتشجيعهم، مع تركيز خاص على لغات السكان الأصليين، والأقليات، واللغات المهددة بالانقراض، وكلها لغات غير ممثلة بشكل كاف على الإنترنت.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

twiti kwa kutumia lugha yako ya asili siku nzima jadili "kwa nini ni muhimu kutumia lugha yako kwenye mtandao wa intaneti?" twiti salamu au maneno/misemo yako uipendayo kwa lugha yako twiti tafsiri yake kuwahamasisha wazungumzaji wa jamii nyinginezo za lugha za wenyeji na wachache

아랍어

غرد ب #لغتك_الأم خلال اليوم شارك "لم هو مهم استخدام لغتك على الإنترنت؟" غرد عبارات الترحيب أو كلماتك وعباراتك المفضلة في لغتك غرد ترجمة هذه العبارات لتشجيع المتحدثين بلغات السكان الأصليين ولغات الأقليات على التعبير بلغاتهم.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
8,037,824,624 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인