검색어: akaketi (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

akaketi

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

yesu alipanda mlimani, akaketi pamoja na wanafunzi wake.

영어

and jesus went up into a mountain, and there he sat with his disciples.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

yule aliyekufa akaketi, akaanza kuongea. na yesu akamkabidhi kwa mama yake.

영어

and he that was dead sat up, and began to speak. and he delivered him to his mother.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

yesu alitoka hapo akaenda kando ya ziwa galilaya, akapanda mlimani, akaketi.

영어

and jesus departed from thence, and came nigh unto the sea of galilee; and went up into a mountain, and sat down there.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

yesu alipoyaona makundi ya watu, alipanda mlimani, akaketi. wanafunzi wake wakamwendea,

영어

and seeing the multitudes, he went up into a mountain: and when he was set, his disciples came unto him:

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakamleta yule punda na mtoto wake, wakatandika nguo zao juu yao na yesu akaketi juu yake.

영어

and brought the ass, and the colt, and put on them their clothes, and they set him thereon.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

basi, bwana yesu alipokwisha sema nao, akachukuliwa mbinguni, akaketi upande wa kulia wa mungu.

영어

so then after the lord had spoken unto them, he was received up into heaven, and sat on the right hand of god.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kesho yake asubuhi na mapema alikwenda tena hekaluni. watu wote wakamwendea, naye akaketi akawa anawafundisha.

영어

and early in the morning he came again into the temple, and all the people came unto him; and he sat down, and taught them.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

makundi makubwa ya watu yalimzunguka hata yesu akapanda mashua, akaketi. hao watu walisimama kwenye ukingo wa ziwa,

영어

and great multitudes were gathered together unto him, so that he went into a ship, and sat; and the whole multitude stood on the shore.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

petro alimfuata yesu kwa mbali, akaingia ndani ya ya wa kuhani mkuu, akaketi pamoja na walinzi akiota moto.

영어

and peter followed him afar off, even into the palace of the high priest: and he sat with the servants, and warmed himself at the fire.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baada ya kusoma, akafunga kile kitabu, akampa mtumishi, kisha akaketi; watu wote wakamkodolea macho.

영어

and he closed the book, and he gave it again to the minister, and sat down. and the eyes of all them that were in the synagogue were fastened on him.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini kristo alitoa dhabihu moja tu kwa ajili ya dhambi, dhabihu ifaayo milele, kisha akaketi upande wa kulia wa mungu.

영어

but this man, after he had offered one sacrifice for sins for ever, sat down on the right hand of god;

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mahali hapo palikuwa na kisima cha yakobo, naye yesu, kutokana na uchovu wa safari, akaketi kando ya kisima. ilikuwa yapata saa sita mchana.

영어

now jacob's well was there. jesus therefore, being wearied with his journey, sat thus on the well: and it was about the sixth hour.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

yesu akaketi chini, akawaita wale kumi na wawili, akawaambia, "yeyote anayetaka kuwa wa kwanza lazima awe wa mwisho na kuwa mtumishi wa wote."

영어

and he sat down, and called the twelve, and saith unto them, if any man desire to be first, the same shall be last of all, and servant of all.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

baada ya yesu kuingia katika mashua moja, iliyokuwa ya simoni, alimtaka simoni aisogeze majini, mbali kidogo na ukingo wa ziwa. akaketi, akafundisha umati wa watu akiwa ndani ya mashua.

영어

and he entered into one of the ships, which was simon's, and prayed him that he would thrust out a little from the land. and he sat down, and taught the people out of the ship.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

basi, pilato aliposikia maneno hayo akamleta yesu nje, akaketi juu ya kiti cha hukumu, mahali paitwapo: "sakafu ya mawe" (kwa kiebrania, gabatha).

영어

when pilate therefore heard that saying, he brought jesus forth, and sat down in the judgment seat in a place that is called the pavement, but in the hebrew, gabbatha.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,792,219,489 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인