전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
alama za uandishi
punctuation marks
마지막 업데이트: 2023-02-09
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
alama za barabarani kwa kiswahili
road signs in kiswahili
마지막 업데이트: 2023-02-15
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
bango la tuzo za uandishi wa kiraia za mwaka 2013.
social media awards 2013 banner.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
msumbiji: je, zana za uandishi wa kiraia zimeua blogu?
mozambique: has social media killed blogging? · global voices
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
alama za uwekaji alama zimetumika kuweka neno baada ya kifungu huru
punctuation mark used to set off a word after an independent clause
마지막 업데이트: 2020-04-16
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
hakika vilima vya safaa na marwa ni katika alama za mwenyezi mungu.
behold! safa and marwa are among the symbols of allah.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
tumepata matokeo ya tuzo za kwanza kabisa za uandishi wa kiraia nchini ghana.
the results are in for ghana's first ever social media awards.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
pia anaendesha canapic jar na basotho ambazo vilevile zinajihusisha na sanaa za uandishi na zanaa za maonyesho.
he also runs canopic jar and basotho which also feature written and visual art.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
masaa machache yaliyopita kutoka #aldaim watu wanatupa alama za polisi na wanapanda juu ya alama hizo
hours ago from #aldaim district , ppl throwing police signs and step on them.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
kama nchi inaelekea kwenye mwelekeo sahihi na museveni anafanikiwa kwa alama za juu, mantiki ni kwamba hakuna tatizo.
if the country is going in the right direction and museveni achieves high marks, the logic is there is no problem.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
chunguza sera za ukurasa huo na utaona kuwa vkontakte inatambulisha kurasa maalumu kwa kuweka alama za bluu baada tu ya jina la mtumiaji wa mtandao huo upande wa kulia.
study the site’s policies and you’ll see that vkontakte identifies official pages by adding a blue checkmark immediately to the right of a user’s name.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
alama za udahili zinakokotolewa kwa kila mwanafunzi wa shule ya sekondari kwa kuzingatia ngazi ya mwanafunzi ya ufaulu, mitihani ya mwisho pamoja na vigezo vingine.
admission points are calculated for each high school student on the basis of their grades, final exams and other obtained qualifications.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
wakati ambapo tom mboya na jomo kenyatta wa kenya walijivunia alama za kitaifa zilizo imara kama simba, nyerere, alimchagua mnyama mkimya, twiga.
while kenya’s tom mboya and jomo kenyatta prided themselves in national symbols based on strong animals like the lion, nyerere quietly chose the unassuming giraffe.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
katika moja ya tovuti za uandishi wa kiraia suala la kumtunuku ukazi wa kudumu kocha ambaye wakati fulani aliitosa zambia na kwenda zake angola, kunaonekana kuwa na mrengo wa kisiasa zaidi.
on one citizen media website the issue of granting permanent residency to a coach who once deserted zambia for neighbouring angola, has assumed political overtones.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
kupitia mtandao huo, vijana wenye ulemavu kutoka sehemu mbalimbali barani humu walipatiwa ujuzi wa kutumia zana za uandishi wa kijamii na jinsi ya kufanya kazi na kuonekana kama waandishi wa habar:
through the network, african youths around the continent with disability received training on social media skills and how to work and portray themselves as journalists:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
"msaada wa haraka uliendelea vizuri lakini serikali ingeweza kufanya vizuri zaidi kama wangeweka alama za maeneo yaliyofurika kwa kutumia minara ya mianzi au njia nyingine zenye vibao vinavyoeleza wazi vina vya maji.
“immediate relief was going on quite well but the government could have done better if they had marked all the flood sections of the roads with bamboo poles or other alternatives with clear signs to show how deep the flood level is.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
mabango hayo yamekuwa yakienea kwa kasi kubwa katika ulimwengu wa blogu hasa pale folha lilipomtumia onyo mtalaamu mmoja wa mambo ya mtandaoni na mwanablogu antonio arles, likidai kwamba kumekuwa na matumizi yasiyofaa ya alama za biashara za kampuni hiyo:
these banners were spreading quickly on the blogosphere, when folha sent a warning to cyberactivist and blogger antonio arles, claiming inappropriate use of the group's trade marks:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
mashindano hayo yalitayarishwa na blogging ghana, kikundi cha wanablogu na watumiaji wa zana za uandishi wa habari za kiraia wanaoandika habari za ghana au kuhusu tajiriba (mambo wanayokutana nayo) nchini ghana.
the contest was hosted by blogging ghana, a group of bloggers and social media users writing out of ghana or about the ghanaian experience.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
alama za twita zinazotumiwa na watumiaji wa twita nchini japani ni #sendai na #jishin. #prayforjapan inatumiwa kutuma maombi kwa lugha ya kiingereza katika mtandao wa twita.
hashtags being used in the japanese twittersphere are #sendai and #jishin. #prayforjapan is being used to send prayers in the english twittersphere.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
tuzo hizi za uandishi wa habari za kiraia za tukio la kwanza linalotafuta kuwaleta pamoja watu binafsi na mashirika ambayo yako mstari wa mbele linapokuja suala la kutumia vyombo vya habari za kiraia kwa minajili ya burudani, kuleta mabadiliko, kubadilishana mawazo, kutengeneza jumuiya na kuwasiliana na wateja mtandaoni.
the uganda sma’s (social media awards) is uganda’s first event that seeks to bring together individuals and organizations that are at the frontline when it comes to using social media for entertainment, change, sharing of ideas, creating communities and talking to customers online.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인: