검색어: alichokifanya (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

alichokifanya

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

basi, wayahudi wengi waliokuwa wamefika kwa maria walipoona kitendo hicho alichokifanya yesu wakamwamini.

영어

then many of the jews which came to mary, and had seen the things which jesus did, believed on him.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nilijisikia kuwa, kile nilichokwisha kukifanya hadi sasa hakitoshi na ni kidogo sana ukilinganisha na kile alichokifanya mfalme wangu.

영어

i just feel that what i have done so far is not enough and even much less than my king.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ingawa alichokifanya kinaweza kuwafanya watu kufungua macho yao dhidi ya the daily star, mustapha anasisitiza kwamba nia yake ni chanya:

영어

although his actions might raise eyebrows at the daily star, mustapha insists his intentions are positive:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa kile victor alichokifanya kwa moyo wake wa dhati wa kujitolea, ndicho kilichomfanya kuwa mmoja wa watu waliopendekezwa kuwania tuzo hii iliyo ya heshima ya hali yajuu.

영어

what victor did out of sheer compassion added him to this prestigious list.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hata sio muda mrefu uliopita, toni zen alikuwa nyota mkubwa wa muziki wa kufoka foka nchini macedonia, akipendwa sana na vyombo vya habari vilivyofuatilia kila alichokifanya.

영어

toni zen was once, not so long ago, macedonia's biggest hip hop star, a media darling whose every move was followed.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kimoja tu alichokifanya na kikaonekana ni kuongezeka kwa vikosi vyake vya kijeshi barani afrika, akiongeza vituo vya kijeshi, kuingiza vikosi vingi vya kijeshi kulinda amani.

영어

his only activity of note has been to ramp up us military activity in africa, adding drone bases and deploying significant numbers of troops.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kweli, kwa dhambi ya mtu mmoja kifo kilianza kutawala kwa sababu ya huyo mtu mmoja; lakini, ni dhahiri zaidi kwamba alichokifanya yule mtu mmoja, yaani yesu kristo, ni bora zaidi. wote wanaopokea neema na zawadi hiyo ya kukubaliwa kuwa waadilifu, watatawala katika uzima kwa njia ya huyo mmoja, yaani yesu kristo.

영어

for if by one man's offence death reigned by one; much more they which receive abundance of grace and of the gift of righteousness shall reign in life by one, jesus christ.)

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,738,078,867 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인