전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
herode alitaka kumwua yohane, lakini aliogopa watu kwa sababu kwao yohane alikuwa nabii.
and when he would have put him to death, he feared the multitude, because they counted him as a prophet.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
lakini alipouona ule upepo, aliogopa, akaanza kuzama; akalia kwa sauti, "bwana, niokoe!"
but when he saw the wind boisterous, he was afraid; and beginning to sink, he cried, saying, lord, save me.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
lakini yosefu aliposikia kwamba arkelao mwanawe herode alikuwa mfalme wa yudea mahali pa baba yake, aliogopa kwenda huko. naye baada ya kuonywa katika ndoto, alikwenda katika mkoa wa galilaya,
but when he heard that archelaus did reign in judaea in the room of his father herod, he was afraid to go thither: notwithstanding, being warned of god in a dream, he turned aside into the parts of galilee:
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
lakini wakati paulo alipoanza kuongea juu ya uadilifu, juu ya kuwa na kiasi na juu ya siku ya hukumu inayokuja, felisi aliogopa, akasema, "kwa sasa unaweza kwenda; nitakuita tena nitakapopata nafasi."
and as he reasoned of righteousness, temperance, and judgment to come felix trembled, and answered, go thy way for this time; when i have a convenient season, i will call for thee.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다