전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
#dershowitz anahitaji kupunguza kuangalia televisheni.
#dershowitz needs to watch less tv.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
mtu anahitaji kumwambia afikiri na kuchambua masuala kabla hajafunua mdomo wake.
someone needs to tell him to think and analyse issues before opening his mouth.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
rais wetu anahitaji kudhibitiwa anachosema saa zote na siku zote kwa sababu vinginevyo ataendelea kutukera.
our president needs 24/7 monitoring because he will keep on embarrasing us.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
anahitaji kiasi cha tani 2.5 cha sarafu hizo. http://koinkeadilan.com/
she needs 2,5 tons of it. http://koinkeadilan.com/
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
aliruhusiwa kuwa na mwanae, lakini akaamua kwamba mwanae anahitaji kukua akiwa mtu huru:
she was allowed to keep her baby with her, but decided that the child needed to grow up free:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
kama huu ndio uzoefu ambao sata alidai kuwa nao ili kuendesha serikali basi anahitaji kuchunguzwa ubongo?
if this is the experience that sata claimed he had to run govt then he needs brain check?
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
kama hakubaliani na ndoa za rangi tofauti, basi anahitaji kutafuta kazi nyingine –labda mkuu wa ku klux klan?
if he doesn’t agree with interracial marriage, he needs to find a new job – perhaps grand master of the ku klux klan?
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
mwanablogu aliyefungwa jela,hossein ronaghi maleki anahitaji huduma ya matibabu ya haraka. alihukumiwa kifungo cha jela cha miaka 15.
jailed blogger,hossein ronaghi maleki needs urgent medical care.he was sentenced to 15 years of prison.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
anahitaji mtu kumtetea kwa namna alivyowatetea wasichana wa kimisri wakati waongo walipodai kwamba wanasubiri kudanganya kuhusu ubikra wao ili kufunika ukosefu wao wa kimaadili.
she needs someone to defend her the way she defended egyptian girls when imposters claimed that they are waiting for the fake hymen to cover up for their immorality.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
wala hatumikiwi kwa mikono ya watu kana kwamba anahitaji chochote kile, kwa maana yeye mwenyewe ndiye anayewapa watu uhai, anawawezesha kupumua na anawapa kila kitu.
neither is worshipped with men's hands, as though he needed any thing, seeing he giveth to all life, and breath, and all things;
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
katika mfululizo wa twiti zake, zain anaeleza kwamba mwanae huyo, anayedai kuwa alipigwa risasi, anaishi na mama yake kwenye kijiji fulani eneo la deraa, na anahitaji matibabu kuokoa maisha yake.
in a series of tweets, zain explains that his son, whom he claims was recently shot at, is with his mother in a village in deraa, and needs medical attention.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
baada ya miaka mingi, ni jambo jema kusikia kuwa rais #goodluck jonathan anahitaji wiki 6 tu zaidi kukabiliana na boko haram. #nigeriadecides — president obiang (@presidentobiang) february 7, 2015
after many years, it is good to hear that president #goodluck jonathan needs just 6 more weeks to deal with boko haram. #nigeriadecides — president obiang (@presidentobiang) february 7, 2015
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질: